Somalia yaanza kuwafukuza Wakenya!

Mimi nakumbuka wakati wa Vita vya kagera kulikuwa askari Kitanzania wenye asili ya kisomali kwenye JW hilo nalikumbuka
 
Unanivutia sana wee mwanamke. Articles zako zinavutia pia kuzisoma
 
Aaah wap fafanua zaidi
Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
mnhhh haya bana,

sidhani kama umenielewa,

sikulaumu,lols

Hahahahaaaa

Wewe upo na Mungu unachokiongea chote ni miujiza tu!

Cha ajabu hii dunia tunayoishi mimi na wewe hakujawahi kua na miujiza of any kind and you know this well!

Sema basi tu Becky unaamua kua mbishi!
 
Soma tena ile post kwa utaratibu,lol
 
Kuna habari zimesambaa mitandaoni zikionyesha mwanamke wa Kisomali amebakwa na kukatwakatwa vipande nikajiuliza chuki za kikabila za wasomali zinafikia hadi Kenya.
 
Hahahahaaaa

Wewe upo na Mungu unachokiongea chote ni miujiza tu!

Cha ajabu hii dunia tunayoishi mimi na wewe hakujawahi kua na miujiza of any kind and you know this well!

Sema basi tu Becky unaamua kua mbishi!

Hata wewe kuvuta mibangi chooni na kudai hakuna Mungu nao ni muujiza pia.

Wasi wasi wangu usijeamka siku ukaanza kubisha hukuzaliwa na mama yako.sababu tu umekua ukakuta watu wanasema huyo ni mama yako.
 
Kwani kuvuta bangi tatizo ni nini?

It is a natural herb availble abundantly na kwa kutumia imani zenu hizo hizo mnadai Mungu huyo huyo ndio kaziumba hizi bangi.

Kama alikua na akili sana,kwanini aumbe bangi na mitumbaku na mimea aina ya coca ambayo ni mibaya kwa afya ya mwanadamu?Kwanini?

Tena shukuru sayansi baada ya tests zaidi ya milenia tukagundua kwamba hii mimea haifai kiafya!

Baada ya kuathiri wanadamu zaidi ya miaka 1000!

Mungu alikua wapi asiwasaidie?Basi ni mkichaa!

Ni possible akawa sio mama yangu vilevile!Huenda alipokua labour bahati mbaya au makusudi wakafanya baby swap akapewa mtoto wa mama mwingine!

Au aliniiba mahali makusudi.Who knows?

Sayansi sasa hivi baada ya miaka mamilioni mwanadamu anaweza kujua hata ancestors wako miaka milioni nyuma kwa kutumia DNA analysis!

Tukipima DNA nae tutapata jibu la uhakika zaidi!

Sijajua unajibu kwa mashauzi na ngendembwe namna hii ni kwamba unamtetea huyo mungu asieweza jitetea yeye mwenyewe mpaka aombe msaada kwa mwanadamu dhaifu kama wewe?

Basi huenda huyu Mungu ni dhaifu sana!
 
"The Drums of war" Majeshi ya Somalia yakijiandaa na Vita wanasema mpaka wafike Nairobi na Kuweka kambi Isiliii..sisi yetu macho ngoja wajichanganye ndio watajua kilichomtoa kanga Manyoya

"The Drums of war" Majeshi ya Somalia yakijiandaa na Vita wanasema mpaka wafike Nairobi na Kuweka kambi Isiliii..sisi yetu macho ngoja wajichanganye ndio watajua kilichomtoa kanga Manyoya

Safi sana acha wazichape tu maana hakuna namna

Vita ni biashara ukiwa mjanja vita inaweza kukufanya ukawa bilionea aise

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Unazidi kukiri kwamba Mungu yupo. Hebu soma comments zako vizuri.
Aisee nyie watu hunibamba sana.
 
Unazidi kukiri kwamba Mungu yupo. Hebu soma comments zako vizuri.
Aisee nyie watu hunibamba sana.

Hahaahahaaaa

Jeni unanifurahisha sana....

Ninaongea assuming huyo Mungu wenu ana-exist then ana mapungufu mob sana!

Ila mimi binafsi sina imani/faith kwamba kuna Mungu au Shetani....Nyie mlipoweka imani,mimi kwangu ni 0,yaani vacant,yaani hamna kitu!

Wakenya mpo religious sana kama Wanigeria na Wahindi!

Ndio maana mpo so aggressive and volatile,Wabongo wapo easy,lay back,hawana imani kali sana na hizi dini!

Dini zinawapa ujasiri wa ajabu with false hopes.....Fanatics wa dini hawana utu!
 
The only true religion is Christianity. Jesus died and rose again.
Islam, Mohammed never resurrected and in his book the Koran he instructed Muslims to kill all non-muslims. (Christians are the most affected by this. What's written in the book (bible about prosecution of Christians is evident now. FaizaFoxy
I would be an atheist if there was no Christianity.
Are you an atheist??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…