Somaliland imeapa kuisaidia Kenya iwapo Vita Vitazuka baina ya Somalia na Kenya

Aiseee 😀 kazi kweli kweli.
 
Ok nimekupata mkuu, ila nikivuta picha ya kagera ambao jiran zao ni kigoma na wale wa mtwara kule newala, na nifike nachingwea ya lindi, sija pasahau geita, mara na mwadui shinyanga naona kuna viasili vya watu kutokutafakari au ubinafsi wa kukurupuka kwa wenye hoja hizo,

Ipo haja kufanya maeneo mengi stahiki kuwa ya kimkakati na vitega uchumi mfano kagera na kigoma, na pengi pengine kwa hoja hiyo ya kagera hata Songwe ya sasa ama mbeya ya zamani kwa ujumla wataibua hoja hizo hizo😀😀

Mtwara licha ya mafuta zipo rasilimali nying tu lakin hawana tofauti na Mara,Shinyanga, Songea kwenye Uranium na kwengineko, wasisahau hata Ziwa Victoria linaweza toa mzigo wa kustaajabisha😀😀

Unguja na pemba, kwa kweli mipaka ile ya wakoloni,(somalia na somaliland) kazi zile za mashambani na ukianzia Bagamoyo na Tanga , Hekima za wakaazi wake wa mwanzo, tamaduni za kimwambao, wengine kutamani kuwa na tabaka, tuna asili ya wapi hakika mtu hatotamani hata serikali mbili😀😀

Ipo haja ya dhati kabisa rasilimali na fursa zikanufaisha kule zitokako kwa namna mbalimbali kwa mipango mizuri, na kustawisha jamii na Taifa husika kwa ujumla, ila sio kuwa chanzo cha kuzipata kwa gharama ya watu wasio na hatia kupoteza maisha (Niger Delta, na kwingine)

Tchao, Muuza Nyanya
 
Kiboko ya Somalia vichwa ngumu ni Somaliland waliivamua Somaliland mwaka jana wakauwawa na vifaru na wakavikimbia na maiti zao wakazikimbia
 
Hey somali keep it in your mind,let me update u,kenya is the 6th powerful in africa interms of military power,1st in technology,leading in the whole world in hosting refugees,and somali is the horn of africa not horns of africa,get it deep in your ears that and u know in just a blink of an eye we will have finished u so we are just keeping u around and soothing us like babies just wait and see ,dont take our silence for granted,even that MPESA u are using its was discovered here in kenya invented and created here ,that shows u,how we can act and be smart .we can be very hospitable, sympathetic,but we we get enough of you we can rush tsunami kando.
 
Kiboko ya Somalia vichwa ngumu ni Somaliland waliivamua Somaliland mwaka jana wakauwawa na vifaru na wakavikimbia na maiti zao wakazikimbia
View attachment 1031562View attachment 1031563
What does tanzania..? have u ever contributed in any UN or Au,AMISON mission..?,nkt even am speaking english for nothing,and u are a fool,how can u post such a photo how heartless are u,iliterate ,imbicile, actually i was shicked some tanzanians were rejoicing during the last terror attack at dusit ,how shameless are u..?kenyans we have so many soldiers in supply and highly trained even if we loose we celebrate them as our heros who still live with us,we are waiting when it knock at your door how u will handle it,saving more tha 800pple and. 14we lost it was a win for us,imbicile use brains to reason,ushawai skia au ona hata grenade..?funga kinyua chako ,ongea sense.
 
Huu mpambano utakuwa ni wa majeshi mawili ya hovyo zaidi africa aise

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 

Wakuu wa Majeshi ya Somaliland na Ethiopia wakibalilishana Zawadi huko Addis Ababa
 

Wakuu wa majeshi ya Somaliland na mwenzake wa Ethiopia
 
Ngoja Kenya nao waisome kidogo ingawa ni ndugu zetu kipindi kile cha idd Amin walitutelekeza tukaenda vitani bila kupata support Yao

Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi ni ndugu zenu wa damu kabisa ,tulifunga mipaka tena tukamzuia Idi Amin kuingiza zana vita ambavyo vingeingia Tanzania ingekua na kibarua kigumu sana tulimnyima hata mafuta ikawa vigumu kwake kutumia vifaru na ndege za kivita,huo sio usaidizi jameni? Brotherly love.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenya wangekuwa na Roho mbaya wangemsaidia IDDI AMINI kufungua Second front tungechapwa mpaka Dodoma kabla Southern Brothers hawajafika ola pia wao kama Frelimo walikuwa wamechoshwa na Bushwars.
 
Plus our turkana and pokoti boys kabla Sisi wengine twingie huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli Kenya ni ndugu zetu kabisa. Kwasababu tunashare mpaka mkubwa zaidi pia lugha moja. Nawaombea suala lenu la mpaka na Somalia liishe salama salmini
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Israel inanzishaje vijiji vya ujamaa when it's not communist? Are you aware that kabla state of Israel iwe formed pale Kwa wapelestine walikua wamepewa present Kenya iwe nchi Yao? Anyway I won't go into details cause it's not of any importance here.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania haina kabila la wasomali, unaposema we ni wa asili ya Somaliland ina maana we ni mkimbizi basi usijiite mtanzania ,Heri ungesema we ni mkenya maana Kenya kuna kabila la wasomali na labda ungetambulika kama mkenya ,mpaka wa Kenya uliekwa na wakoloni mwaka wa sitini na mbili hili ambalo unalisema la 2009 lilikua tu ku reaffirm does boundaries.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao wote umewataja ni wakenya wa kabila la kisomali, hence they are not Somalians.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…