Somaliland imeapa kuisaidia Kenya iwapo Vita Vitazuka baina ya Somalia na Kenya

Good

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Sasa mlitaka msaidiwe kisa na maana mlisaidia? Tenda wema nenda zako,Sisi vita vietu vya ukombozi tulivipigana wenyewe watu wetu wengi wakapoteza maisha Yao,sasa mbona tusaidie waja wakati hatukusaidiwa?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You misunderstood him.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hiyo Somaliland wanaosema watasaidiana na Kenya kumbe silaha yao kubwa ni BM-21 tena wanazo tisa tu dah

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Sasa hiyo Somaliland wanaosema watasaidiana na Kenya kumbe silaha yao kubwa ni BM-21 tena wanazo tisa tu dah

Sent using my iPhone using jamiiforum app
Ziko Grad launchers zaidi ya hamsini na Ethiopia inanunua kwa niaba ya Somaliland ziko Guided antitank 300
Ziko Katyusha 80
 
TOWs ni za Kumwaga

Na hizi antitank za Kichina ni za kumwaga
Na hizi Kutoka Yemen wamenunua nyingi

Bm21 Grad za kumwaga wewe unafikiri ni mchezo wa kitoto

Katyusha hizi ndio kiboko ya Alshabaab wa Somalia maana ukishapata mawasiliano unamwaga tu.
 
Ziko Grad launchers zaidi ya hamsini na Ethiopia inanunua kwa niaba ya Somaliland ziko Guided antitank 300
Ziko Katyusha 80
Na Somalia wanazo ngapi?

Hizo katyusha 80 wamezifikisha lini na unaposema inanunua kwa niaba ya Somaliland unamaanisha nn

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Na Somalia wanazo ngapi?

Hizo katyusha 80 wamezifikisha lini na unaposema inanunua kwa niaba ya Somaliland unamaanisha nn

Sent using my iPhone using jamiiforum app
Kuna vikwazo vya silaha kutokea Eritrea Somaliland na Somalia ila kwa Somaliland inapokea Silaha wana agiziwa na Ethiopia South Somalia Wana Armoured vehicles Only Nothing more na RPG za kizamani.
 
Kwaiyo hizo ndio picha na ushahidi kuwa Somaliland wanazo?

Somaliland ingekuwa ni ubwabwa ubwabwa Alshababu ingekuwa Inalawiti watu wake kwa waume ila kila wakigusa wanakula kichapo wanarudi kwenye Drawing board hahahahaha!!!
 
Kwaiyo hizo ndio picha na ushahidi kuwa Somaliland wanazo?

Sent using my iPhone using jamiiforum app
Kwa hiyo mpaka watubebee watuletee Dar ili tuamini.
Au waje kutualika twende tukatembelee makambi yao ili Mhutu mmoja au mtusi mmoja Irankunda arashaka kuzibhonye...
 
Somaliland hawana uwezo wa kuwa na katyusha 80
Kwa hiyo mpaka watubebee watuletee Dar ili tuamini.
Au waje kutualika twende tukatembelee makambi yao ili Mhutu mmoja au mtusi mmoja Irankunda arashaka kuzibhonye...

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Sawa haya wewe umeyajuaje hayo kuwa Ethiopia ndio njia ya silaha za Somaliland na UN wasijue?

Unakumbuka kilichotaka kutokea tz kipindi wanafanya biashara ya silaha na North Korea?
Kuna vikwazo vya silaha kutokea Eritrea Somaliland na Somalia ila kwa Somaliland inapokea Silaha wana agiziwa na Ethiopia South Somalia Wana Armoured vehicles Only Nothing more na RPG za kizamani.

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Sawa haya wewe umeyajuaje hayo kuwa Ethiopia ndio njia ya silaha za Somaliland na UN wasijue?

Unakumbuka kilichotaka kutokea tz kipindi wanafanya biashara ya silaha na North Korea?

Sent using my iPhone using jamiiforum app
Wewe uMhutu/Mtusi huijui tanzania kwa intelijensia niulize Uganda Kenya Rwanda Burundi wana silaha gani makambi mangapi na mbinu zao usiisahau na South Sudan na Chad.
 
Sawa umeshinda lkn kiualisia Kenya plus Somaliland uwezo wa kumpiga Somalia wanao lkn hiyo vita utawacha wako taabani saana kiuchumi na depopulation yake Itakuwa sio ya kitoto

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…