Richard irakunda
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 3,660
- 4,384
GoodSisi ni ndugu zenu wa damu kabisa ,tulifunga mipaka tena tukamzuia Idi Amin kuingiza zana vita ambavyo vingeingia Tanzania ingekua na kibarua kigumu sana tulimnyima hata mafuta ikawa vigumu kwake kutumia vifaru na ndege za kivita,huo sio usaidizi jameni? Brotherly love.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using my iPhone using jamiiforum app