Somanga: Rais Magufuli asikitishwa na uzembe wa Wizara ya Ujenzi kutokarabati barabara Somanga. Azawadiwa jogoo

Mleta mada wewe Ni maskini wa kutupwa zipo hoteli za makuti kwa siku laki nane kwa siku Makuuti
Sio umaskini maskini wewe

Nyumba za maeneo ya joto zinatakiwa kuezekwa Makuti Sio vigae au bati ndio maana hotels za makuti maeneo ya pwani Huwezi kumudu kulipia Lofa wewe
 
Bado maisha anayoishi Rais wa Tanzania na viongozi wa juu, ni ya kifahari sana! Hayaakisi maisha ya masikini walio wengi Tanzania
 
Huyu jogoo wa kizungu ametoka Mbagala asubuhi hata maji ya uso hakunawa.

Ni baada ya nyomi iliyompokea Lissu Airport na wengine walipanga kuonyesha jamii wanavyokubalika.

Yule mzee anafahamu maendeleo ya flyover na ununuzi wa na ununuzi wa ndege.
Utakufa na stress zako huko UK na hako kanaume kako kakiwete!
 
Mleta mada wewe Ni maskini wa kutupwa zipo hoteli za makuti kwa siku laki nane Makuti Sio umaskini

Nyumba za maeneo ya joto zinatakiwa kuezekwa Makuti Sio vigae au bati ndio maana hotels za makuti maeneo ya pwani Huwezi kumudu kulipia Lofa wewe
Ficha ujinga wako?

Haya ni makuti?
 

Attachments

  • 2444124_2444028_IMG_20200630_091115.jpeg
    142.4 KB · Views: 1
Huyo mzee alietoa jigoo alijiongeza
 
Kwa hiyo ni barabara hiyo pekee iliyojengwa chini ya kiwango, inakuwaje Rwanda gari la uzito wowote linapita barabarani sisi mizani zimetapakaa kila mahali kupima uzito wa magari. Kama barabara inaweza kuharibiwa na basi la abiria eti limezidi uzito hakuna barabara hapo...
 
Meko huwa anaongea utafikiria yeye ni rais wa nchi nyingine kaja tanzania ghafla,jamaa ni msanii hiyo barabara anaijua sana shida ni pesa aache blahblah
 
Hii barabara imejengwa 5years ago chini ya usimamizi wake,Sasa hivi inahitaji tena ukarabati?
 
Tupe hotel moja iliyoezekwa kwa makuti Dar au dar hakuna joto?
 
Hivi yule Mzee mwenye jogoo alijuaje atapata nafasi ya kuongea mpaka akawa amejiandaa na zawadi ya jogoo lake?

Kumbukeni tu ya kwamba Majibu yenu yote mtakayoyajibu hapa yatasomwa mno si tu ' Great Thinkers ' wa JF lakini pia yatasomwa vyema tu na ' Intellectuals ' kutoka vyuo Vikuu vya Watu wenye Akili Kubwa na zilizowapitiliza kabisa kama cha Havard huko Marekani, Oxford huko Uingereza na Tel-Aviv cha nchini Israel.


Mjumbe hauwawi!
 
Inaonekana Magufuli ana uwezo mdogo wa kujenga hoja na badala amekuwa akiropoka maneno yasiyo na sense. Mfano ni juzi alivyotoka katika mazishi ya Mkapa akafika maeneo ya Somanga.

Akiwa kwenye mkutano alisalimia kwa kutumia slogan "Mkapa Hoyee hoyee" Hivi hiyo ina maana gani kusema hivyo wakati mtu anayemsema ametoka kwenye msiba wake?

Kama haitoshi, akasema yule mzee atampa mama yake kwa sababu baba yake Magufuli alikuwa ameshatangulia mbele ya haki. Huyu mzee alimpa zawadi ya Jogoo. Magufuli akaendelea kusema "Kuku Hoyee!

Huyo mama si Mama yangu lakini katika utamaduni wa kiafrika kuongea maneno kama hayo si sahihi....Ni ujinga uliopitiliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…