Somanga: Rais Magufuli asikitishwa na uzembe wa Wizara ya Ujenzi kutokarabati barabara Somanga. Azawadiwa jogoo

]Huyo ni Nyapara wa barabara sio Rais wa nchi. Mzee wetu Kingunge aliona mbali sana na kutueleza haya. Wakati mwingine tuwe tunasikiliza usia wa wazee.

Maendeleo hayana vyamaa halafu anafika Kilwa anawalaumu wananchi kwa nini wamemchagua Mbunge wa chama cha upinzani.
 
Uparesheni ukuta
 
Mzee Kingunge alisema.........
 
Hivi huyu Rais kawa Babu yenu sio?
Anatakiwa a-act kama rais wa nchi siyo kama taahira. Rais hajui hata analoongea kwenye public.....anaaibisha watanzania. Wewe unaona ni sawa anavyoongea? Kumbuka urais una heshima yake siyo kuropoka ujinga ujinga tu. Kama wewe ni mmoja wa washauri wake mweleze kuwa anatakiwa awe na heshima...kuwa rais siyo kuongea ongea ovyo.
 
Akimgawa mama ake wewe inakuuma nini?πŸ˜€πŸ˜€
T
Akimgawa mama ake wewe inakuuma nini?πŸ˜€πŸ˜€
Tatizo la ninyi washauri wake ni wajinga na msiokuwa na uelewa wa taasisi ya urais. Hivi unajua kuwa rais ni taasisi na lolote unalofanya la kufadhaisha linawaweka doa kwenye nchi? U-rais ni taasisi yenye heshima, kama anamgawa mama yake kwani lazima atuambie au ni sehemu ya kazi zake? Sisi hatukumtuma aongeze upupu....tunategemea afanye kazi tuliyomtuma. Nenda darasani tena kidogo ili uongeze uelewa wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…