Siasa Basi
JF-Expert Member
- Jul 10, 2016
- 1,493
- 4,281
Hivi huyu Rais kawa Babu yenu sio?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uparesheni ukuta]Huyo ni Nyapara wa barabara sio Rais wa nchi. Mzee wetu Kingunge aliona mbali sana na kutueleza haya. Wakati mwingine tuwe tunasikiliza usia wa wazee.
Maendeleo hayana vyamaa halafu anafika Kilwa anawalaumu wananchi kwa nini wamemchagua Mbunge wa chama cha upinzani.
Mwingine akitoa jogoo atapewa mke!Msimstue sasa mwache aendelee kuropoka
Ni mtaji
Tuendelee kutoa zawadi za majogoo
Anatakiwa a-act kama rais wa nchi siyo kama taahira. Rais hajui hata analoongea kwenye public.....anaaibisha watanzania. Wewe unaona ni sawa anavyoongea? Kumbuka urais una heshima yake siyo kuropoka ujinga ujinga tu. Kama wewe ni mmoja wa washauri wake mweleze kuwa anatakiwa awe na heshima...kuwa rais siyo kuongea ongea ovyo.Hivi huyu Rais kawa Babu yenu sio?
Mie hadi leo nashindwa kuamini how comes aliongea ule utopolo kwa kweli. Tunaweza tukawa na very serious mental case pale ikulu ila tunajifanya tu hatuioniAkimgawa mama ake wewe inakuuma nini?😀😀
TAkimgawa mama ake wewe inakuuma nini?😀😀
Tatizo la ninyi washauri wake ni wajinga na msiokuwa na uelewa wa taasisi ya urais. Hivi unajua kuwa rais ni taasisi na lolote unalofanya la kufadhaisha linawaweka doa kwenye nchi? U-rais ni taasisi yenye heshima, kama anamgawa mama yake kwani lazima atuambie au ni sehemu ya kazi zake? Sisi hatukumtuma aongeze upupu....tunategemea afanye kazi tuliyomtuma. Nenda darasani tena kidogo ili uongeze uelewa wako.Akimgawa mama ake wewe inakuuma nini?😀😀
Wanaomsapoti ni wagonjwa wenzake!Mie hadi leo nashindwa kuamini how comes aliongea ule utopolo kwa kweli. Tunaweza tukawa na very serious mental case pale ikulu ila tunajifanya tu hatuioni
😀😀Mie hadi leo nashindwa kuamini how comes aliongea ule utopolo kwa kweli. Tunaweza tukawa na very serious mental case pale ikulu ila tunajifanya tu hatuioni
Ukimwangalia na kumsikiliza mwenyekiti wa CCM na kumsikiliza ndipo unapata picha chama hicho kina wanachama wa aina gani.Tukisema kwamba CCM Ni CHAMA CHA MAZEZETA msibishe.
Acha kuwa mjinga. Huyo ni Rais hatakiwi kuropokaAkimgawa mama ake wewe inakuuma nini?[emoji3][emoji3]