Imagine jitu Kingereza kibovu kingii na suti oversize ya mtumba halafu linakunya vichakani, na haya majamaa huwaga hayatawadhi, yaani limekunya kichakani halafu linatembea na Mbolea. Kenyans are primitive half brained humans
Hahaha. Eti jitu linatembea na mbolea?Imagine jitu Kingereza kibovu kingii na suti oversize ya mtumba halafu linakunya vichakani, na haya majamaa huwaga hayatawadhi, yaani limekunya kichakani halafu linatembea na Mbolea. Kenyans are primitive half brained humans
Hahaha. Nimecheka hio slogan sana. Yaani wale watu ambao ndio wajinga kabisa Afrika ndio wanajiita the brains of Africa. Dah!
kwani wewe unajua kiingereza!??Hehehehe!! Ina maana mpaka sasa haujafanyia kazi ushauri wangu wa kutafuta sehemu usome Kingereza, hizi hasira za kutokujua kingereza zinakutesa, ila mpaka siku utafanyia kazi huo ushauri ndio utapona......tutaendelea kuwashinda kwenye kuongea English...hehehehe huwa napata raha sana.
kwani wewe unajua kiingereza!??
mnapiga hela shingapi?!!!Mbona nisikijue wakati ni mtaji kabisa kwa Mkenya akija Tanzania, kwetu huku ni lugha ya kawaida ila kwenu huko aisei tunakitumia kupiga hela maana mpo mamilioni licha ya kukitegemea lakini hamkijui, hivyo kwa wanaojua kutumia fursa kinakua kula yao.
Kubwajinga, Tanzania kuna mabilionea wengi kuliko Africa Mashariki yote Combined, wote wanazungumza Kiswahili.Mbona nisikijue wakati ni mtaji kabisa kwa Mkenya akija Tanzania, kwetu huku ni lugha ya kawaida ila kwenu huko aisei tunakitumia kupiga hela maana mpo mamilioni licha ya kukitegemea lakini hamkijui, hivyo kwa wanaojua kutumia fursa kinakua kula yao.
Nimecheka sana, huyo jamaa bwege sanamnapiga hela shingapi?!!!
One thing needs to be clearly said is: the epithet "Bongo" derived from the street corners and was specifically meant for Dar es salaam, not Tanzania.Jameni inawezekana kuwa kweli, iwe ndio sababu Afrika inaongoza dunia kwa umaskini licha ya raslimali zote hizi....kha kumbe tatizo lipo kwenye ubongo, hatubuni chochote....hehehehe
One thing needs to be clearly said is: the epithet "Bongo" derived from the street corners and was specifically meant for Dar es salaam, not Tanzania.
Kubwajinga, Tanzania kuna mabilionea wengi kuliko Africa Mashariki yote Combined, wote wanazungumza Kiswahili.
mnapiga hela shingapi?!!!
What is the history of the word "Bongo". Where did it originate from. What is the meaning of that word.One thing needs to be clearly said is: the epithet "Bongo" derived from the street corners and was specifically meant for Dar es salaam, not Tanzania.
Mi si mgeni wa forums, ila huku sipendi kuchangia kwakua kuna ujinga, utoto mwingi sana hasa kwenu Wakenya na Tanzania upande wa siasa.Wow! Kwa mara ya kwanza nimekumbana na hoja yako isiyo tusi, mara nyingi huwa unapuuzwa kwa kutokujua namna ya kujadili mada kstaarab bila matusi.
Hilo neno "Bongo" huwa naona likiwachanganya hata Watanzania wenyewe, kunao akisafiri kwenda Dar kutokea mikoani anasema anakwenda Bongo, kunaye mkaazi wa Kilimanjaro hunialika "Bongo", maana kwa uelewa wake ni Tanzania yote,
What is the history of the word "Bongo". Where did it originate from. What is the meaning of that word.
aisee.... nimecheka sana kwa sautiNi kweli Bongo tupo vizuri kwenye mambo ya kutumia brain, ukitaka kuamini hilo kaa na raia wa Burundi kwenye discussion yoyote anakuona wewe ndio master mind.
Hivi, hujasoma hiyo link ama wewe ni mbishi tu by nature?nikikataa kwamba hatufi ntakuwa mpuuzi.
ila wewe kuthibitisha kwamba tunakufa na corona, nina uhakika ni swala ambalo huwezi lifanya hata nikubake.
aisee.... nimecheka sana kwa sauti
True story.Ndio hivyo mkuu.