Some African countries and their slogans

Imagine jitu Kingereza kibovu kingii na suti oversize ya mtumba halafu linakunya vichakani, na haya majamaa huwaga hayatawadhi, yaani limekunya kichakani halafu linatembea na Mbolea. Kenyans are primitive half brained humans

Hehehehe!! Ina maana mpaka sasa haujafanyia kazi ushauri wangu wa kutafuta sehemu usome Kingereza, hizi hasira za kutokujua kingereza zinakutesa, ila mpaka siku utafanyia kazi huo ushauri ndio utapona......tutaendelea kuwashinda kwenye kuongea English...hehehehe huwa napata raha sana.
 
Hahaha. Eti jitu linatembea na mbolea?
 
Hahaha. Nimecheka hio slogan sana. Yaani wale watu ambao ndio wajinga kabisa Afrika ndio wanajiita the brains of Africa. Dah!

Can you support your claim "...wajinga kabisa Africa..." with some reliable sources please?

The list authenticity of the so called "slogans" is questionable, how does "bongo" qualify or fit in this list?
 
Hehehehe!! Ina maana mpaka sasa haujafanyia kazi ushauri wangu wa kutafuta sehemu usome Kingereza, hizi hasira za kutokujua kingereza zinakutesa, ila mpaka siku utafanyia kazi huo ushauri ndio utapona......tutaendelea kuwashinda kwenye kuongea English...hehehehe huwa napata raha sana.
kwani wewe unajua kiingereza!??
 
kwani wewe unajua kiingereza!??

Mbona nisikijue wakati ni mtaji kabisa kwa Mkenya akija Tanzania, kwetu huku ni lugha ya kawaida ila kwenu huko aisei tunakitumia kupiga hela maana mpo mamilioni licha ya kukitegemea lakini hamkijui, hivyo kwa wanaojua kutumia fursa kinakua kula yao.
 
mnapiga hela shingapi?!!!
 
Kubwajinga, Tanzania kuna mabilionea wengi kuliko Africa Mashariki yote Combined, wote wanazungumza Kiswahili.
 
Jameni inawezekana kuwa kweli, iwe ndio sababu Afrika inaongoza dunia kwa umaskini licha ya raslimali zote hizi....kha kumbe tatizo lipo kwenye ubongo, hatubuni chochote....hehehehe
One thing needs to be clearly said is: the epithet "Bongo" derived from the street corners and was specifically meant for Dar es salaam, not Tanzania.
 
Wow! Kwa mara ya kwanza nimekumbana na hoja yako isiyo tusi, mara nyingi huwa unapuuzwa kwa kutokujua namna ya kujadili mada kstaarab bila matusi.
Hilo neno "Bongo" huwa naona likiwachanganya hata Watanzania wenyewe, kunao akisafiri kwenda Dar kutokea mikoani anasema anakwenda Bongo, kunaye mkaazi wa Kilimanjaro hunialika "Bongo", maana kwa uelewa wake ni Tanzania yote,
 
Kubwajinga, Tanzania kuna mabilionea wengi kuliko Africa Mashariki yote Combined, wote wanazungumza Kiswahili.

Utamu wa kujua kingereza hauwezi ukaununua kwa hela, ukiwa mburula hata kama unazo shilingi ngapi unabaki huko kwa ze ze ze....halafu mbaya zaidi maskini kama wewe huna hela na haujui kingereza, double laana.
 
mnapiga hela shingapi?!!!

Hauwezi ukazijua maana haujui kingereza, halafu watu wa namna hiyo hawalipwi kwa shilingi madafu ila kwa $$$, tafuta mtu akutafsirie nini maana ya $$$
 
One thing needs to be clearly said is: the epithet "Bongo" derived from the street corners and was specifically meant for Dar es salaam, not Tanzania.
What is the history of the word "Bongo". Where did it originate from. What is the meaning of that word.
 
Wow! Kwa mara ya kwanza nimekumbana na hoja yako isiyo tusi, mara nyingi huwa unapuuzwa kwa kutokujua namna ya kujadili mada kstaarab bila matusi.
Hilo neno "Bongo" huwa naona likiwachanganya hata Watanzania wenyewe, kunao akisafiri kwenda Dar kutokea mikoani anasema anakwenda Bongo, kunaye mkaazi wa Kilimanjaro hunialika "Bongo", maana kwa uelewa wake ni Tanzania yote,
Mi si mgeni wa forums, ila huku sipendi kuchangia kwakua kuna ujinga, utoto mwingi sana hasa kwenu Wakenya na Tanzania upande wa siasa.

Mimi sipendi ujinga.
 
What is the history of the word "Bongo". Where did it originate from. What is the meaning of that word.

You can't easily tell the origin of what was coincidentally formed on the streets. I only remember, in the 1990s late President Mkapa publicly disowned this "epithet" na alisema kua linaashiria kuishi na kujipatia hela kimagumashi.
 
Ni kweli Bongo tupo vizuri kwenye mambo ya kutumia brain, ukitaka kuamini hilo kaa na raia wa Burundi kwenye discussion yoyote anakuona wewe ndio master mind.
 
nikikataa kwamba hatufi ntakuwa mpuuzi.

ila wewe kuthibitisha kwamba tunakufa na corona, nina uhakika ni swala ambalo huwezi lifanya hata nikubake.
Hivi, hujasoma hiyo link ama wewe ni mbishi tu by nature?
 
Back
Top Bottom