Some childhood memories

Kwa wale tuliokua na mbuzi nyumbani, siku ukienda kuwachunga mnazichanganya na za majirani halafu mnaziachia zinaenda kwenye mazao ya watu huku nyie mnacheza mpira

Sasa muda ukipita mnakaa mnapiga Kura nani aende kuzitafuta zilikoenda maana kama ziko kwenye mazao ya watu halafu mwenye shamba akiwepo wewe uliezifata kipondo utakachochezea utasimulia

Hapo kwenye kupiga Kura tulikua tunachukua yake matawi ya mihogo, kule kunakokutana Kati ya Tawi na mti wa mihogo kuna kifundo, hapo mmoja anavikata kata then anavificha kwenye kiganja cha mkono Yule atakaechagua kijiti chenye kifundo ndio atazifata mbuzi zilikoenda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama dada bado anavua hovyo chupi yake mpaka sasa, atakuwa anaipata fresh!
Akili za utoto zinastaajabisha!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…