Jamaa tumefanana kiasi.Kuna jamaa aliniambia niasame mdomo kwamba kuna kitu ameona halafu akanitemea mate mdomoni. Yule fala hadi leo sijamsamehe.
Ya dar mpaka Moro sijui ila ya ulimi ni matusi hasa kwa zile nyuchi zenye maji.. Hiyo action hutokea wakati wa kufanya matusi
Jr[emoji769]
Kwetu tulikuwa tunauita tikri..💃💃💃Huu mchezo tuliita dama..Tukimaliza hapa tulikua tunacheza Mchezo wa senta.View attachment 1409360
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu tumecheza enzi hizo skuli ya fuoni.. tunaita mtegoKwetu tulikuwa tunauita tikri..[emoji126][emoji126][emoji126]
[emoji3][emoji3] Mimi huyuHii ya kupasua hayo madude mpaka leo nafanya..View attachment 1409371
Sent using Jamii Forums mobile app
Yondo sister mwanamamaaaa🎶🎶iye mamaaaa🎵🎵🎵🎵Nilikua napenda kucheza mziki wa bolingo,ikipigwa mziki wa Bongoman weeeeeeeeeee sio kwa mauno hayo.. 🤣 🤣
Aisee hata sisi tumefanya sana hii.. tulikua tunawakamatia madada fulaniMdudu fukufuku nimemuweka Sana kwenye tuchuchu zangu enzi hizo ili matiti yakuwe makubwa..[emoji3][emoji3] tulikuwa twaona wakubwa wanafauuuduuu[emoji57][emoji57] Natamani apatikane mdudu wa kupunguzaView attachment 1409389
Sent using Jamii Forums mobile app
Baba mama ..majumba mabovu yalikoma enzi hizo..[emoji3][emoji3][emoji3]...nilikuwa nachaguliwa kuwa Bibi harusi kisa tu nilikuwa na gauni spesheli...nimefaudu Sana wali harage vya utoto [emoji39]Nani alicheza kadome..?
Kula mbakishie baba je..?
Komborela je..?
Baba na mama je..? Lakini hii nilikuwa natengwa sana siwi baba nakuwa mtoto tu kenge kabisa[emoji23][emoji23]
Ila ipo niliofaidi hiyo ilikuwa ni special ya Mimi na kidemu fulani hivi kiliitwa fatu asubuhi pevu kenge tayari nipo kwao! Tukishajipikilisha tunaingia kwenye mauwa[emoji23][emoji23] fatuma i miss you[emoji7]
Michezo nliokuwa siipendi ni kula mbakishie baba ukiangusha kile kijiti halafu huna mbio utachezea mkong'oto mpk unalia[emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3] unavimbaaa...chezea kubalidili wino wewe...[emoji23][emoji23][emoji23]Ukiwa na hii pen unajiona Don..afu unakuta mrija wa kijani ndio unaandika tena kwa kugoma gomaView attachment 1409386
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani alicheza kadome..?
Kula mbakishie baba je..?
Komborela je..?
Baba na mama je..? Lakini hii nilikuwa natengwa sana siwi baba nakuwa mtoto tu kenge kabisa😂😂
Ila ipo niliofaidi hiyo ilikuwa ni special ya Mimi na kidemu fulani hivi kiliitwa fatu asubuhi pevu kenge tayari nipo kwao! Tukishajipikilisha tunaingia kwenye mauwa😂😂 fatuma i miss you😍
Michezo nliokuwa siipendi ni kula mbakishie baba ukiangusha kile kijiti halafu huna mbio utachezea mkong'oto mpk unalia😂😂
huu mpka leo nacheza.natumia mikono miwiliHuu tumecheza enzi hizo skuli ya fuoni.. tunaita mtegoView attachment 1409387
Sent using Jamii Forums mobile app
Karata ya maganda ya viberiti..tumecheza sana. Mtaani kupata ganda la kiberiti ikawa nadraView attachment 1409393
Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOTE
Hiyo manati naitaka hata sasa hiv
Hiyo manati naitaka hata sasa hiviKarata ya maganda ya viberiti..tumecheza sana. Mtaani kupata ganda la kiberiti ikawa nadraView attachment 1409393
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani alicheza kadome..?
Kula mbakishie baba je..?
Komborela je..?
Baba na mama je..? Lakini hii nilikuwa natengwa sana siwi baba nakuwa mtoto tu kenge kabisa[emoji23][emoji23]
Ila ipo niliofaidi hiyo ilikuwa ni special ya Mimi na kidemu fulani hivi kiliitwa fatu asubuhi pevu kenge tayari nipo kwao! Tukishajipikilisha tunaingia kwenye mauwa[emoji23][emoji23] fatuma i miss you[emoji7]
Michezo nliokuwa siipendi ni kula mbakishie baba ukiangusha kile kijiti halafu huna mbio utachezea mkong'oto mpk unalia[emoji23][emoji23]
Haya madude nimechezea Sana dah ilikuwa ligi🤣🤣 mbona madogo wa siku hizi hakuna hizi mambo wamekujaje..??Chumvi ya mia na chenji irudi...
Hapo naweza kwenda hata mbinguniView attachment 1409388
Sent using Jamii Forums mobile app