Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
- Thread starter
- #21
Jamaa tumefanana kiasi.Kuna jamaa aliniambia niasame mdomo kwamba kuna kitu ameona halafu akanitemea mate mdomoni. Yule fala hadi leo sijamsamehe.
Kile kiua cha ndizi ambacho kinaninginia ndani yake kina vidude hivi vina majimaji matamu. Sasa tulikua tunapenda kunywa yale maji..Kuna jamaa mmoja alikua mkubwa afu mkorofi haswa..alituletea hayo madude tunywe. Mm na mdogo wangu tukafakamia..
Kumbe jamaa alijaza mate mle ndani hapakua na ile asali tena
Sent using Jamii Forums mobile app