Some childhood memories

Some childhood memories

Kuna jamaa aliniambia niasame mdomo kwamba kuna kitu ameona halafu akanitemea mate mdomoni. Yule fala hadi leo sijamsamehe.
Jamaa tumefanana kiasi.
Kile kiua cha ndizi ambacho kinaninginia ndani yake kina vidude hivi vina majimaji matamu. Sasa tulikua tunapenda kunywa yale maji..Kuna jamaa mmoja alikua mkubwa afu mkorofi haswa..alituletea hayo madude tunywe. Mm na mdogo wangu tukafakamia..
Kumbe jamaa alijaza mate mle ndani hapakua na ile asali tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani alicheza kadome..?
Kula mbakishie baba je..?
Komborela je..?
Baba na mama je..? Lakini hii nilikuwa natengwa sana siwi baba nakuwa mtoto tu kenge kabisa😂😂
Ila ipo niliofaidi hiyo ilikuwa ni special ya Mimi na kidemu fulani hivi kiliitwa fatu asubuhi pevu kenge tayari nipo kwao! Tukishajipikilisha tunaingia kwenye mauwa😂😂 fatuma i miss you😍

Michezo nliokuwa siipendi ni kula mbakishie baba ukiangusha kile kijiti halafu huna mbio utachezea mkong'oto mpk unalia😂😂
 
Ukiwa na hii pen unajiona Don..afu unakuta mrija wa kijani ndio unaandika tena kwa kugoma goma
FB_IMG_15843009337101362.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani alicheza kadome..?
Kula mbakishie baba je..?
Komborela je..?
Baba na mama je..? Lakini hii nilikuwa natengwa sana siwi baba nakuwa mtoto tu kenge kabisa[emoji23][emoji23]
Ila ipo niliofaidi hiyo ilikuwa ni special ya Mimi na kidemu fulani hivi kiliitwa fatu asubuhi pevu kenge tayari nipo kwao! Tukishajipikilisha tunaingia kwenye mauwa[emoji23][emoji23] fatuma i miss you[emoji7]

Michezo nliokuwa siipendi ni kula mbakishie baba ukiangusha kile kijiti halafu huna mbio utachezea mkong'oto mpk unalia[emoji23][emoji23]
Baba mama ..majumba mabovu yalikoma enzi hizo..[emoji3][emoji3][emoji3]...nilikuwa nachaguliwa kuwa Bibi harusi kisa tu nilikuwa na gauni spesheli...nimefaudu Sana wali harage vya utoto [emoji39]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani alicheza kadome..?
Kula mbakishie baba je..?
Komborela je..?
Baba na mama je..? Lakini hii nilikuwa natengwa sana siwi baba nakuwa mtoto tu kenge kabisa😂😂
Ila ipo niliofaidi hiyo ilikuwa ni special ya Mimi na kidemu fulani hivi kiliitwa fatu asubuhi pevu kenge tayari nipo kwao! Tukishajipikilisha tunaingia kwenye mauwa😂😂 fatuma i miss you😍

Michezo nliokuwa siipendi ni kula mbakishie baba ukiangusha kile kijiti halafu huna mbio utachezea mkong'oto mpk unalia😂😂
Huu tumecheza enzi hizo skuli ya fuoni.. tunaita mtegoView attachment 1409387

Sent using Jamii Forums mobile app
huu mpka leo nacheza.natumia mikono miwili
 
Nashukuru Mungu hakuna mchezo utotoni sijafanya..ya kike na ya kiume yote nimecheza.[emoji23][emoji23] Ila tulikua tukicheza baba mama wale wadada wanatulazimisha mm na mdogo wangu tuwe watoto badala ya baba

Back
Top Bottom