Some childhood memories

Unataka kuniambia watoto wao hawasheherekei..? Tena wale ndo wakorofi Kama wazazi wao hujajua tu..
Zilikua sio kota. Nyumba zetu zilipakana na msitu wa jeahi. Majamaa walikua wanawapiga sana wabibi wakienda kukata kuni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi watu walibadilishana nguo. Kuna wavulana walivaa magauni basi yule anaezinga anachachawa kutaja jina.Watu wanabutua.

Kombolela ya saa 12 jioni kwenda saa moja ilinoga sana.
 
Hiyo yote tumecheza sisi..Ila hii ya uchi ilikua kiboko..
Yule anayekaba akiona mnamsumbua sana anatoa mpira anaweka jiwe. Watu wametenguka miguu hatari. Si unajua spidi anazokuja nazo mtu akija kukomboa afu akute ni jiwe sio mpira
Sisi watu walibadilishana nguo. Kuna wavulana walivaa magauni basi yule anaezinga anachachawa kutaja jina.Watu wanabutua.

Kombolela ya saa 12 jioni kwenda saa moja ilinoga sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muha harogeki mkuu.
Mbona kwetu wali ulikua adimu tunaweza kaa hata 3 months bila kula wali ila siku ukijojoa unatoa ubwabwa
Duh! Wale kila mtu wanaona mvamizi[emoji23]

Nasubiri zawadi yangu usijikaushe ntakuroga[emoji12][emoji12]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…