Some childhood memories

Some childhood memories

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ukiwa bored darasani
FB_IMG_15843009528294970.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi watu walibadilishana nguo. Kuna wavulana walivaa magauni basi yule anaezinga anachachawa kutaja jina.Watu wanabutua.

Kombolela ya saa 12 jioni kwenda saa moja ilinoga sana.
Tulikua tuna mchezo tunaita Kombolela Uchi. Hii tulikua tunaicheza kuanzia saa 2 ya usiku..Mtu anakuja kukomboa mpira yupo full suti. Uchi kabisa (Tulikua hatuna chupi..) huwezi mjua jina jama.
Watu wamekulana huko..sio waoga tulitoka kapa pote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo yote tumecheza sisi..Ila hii ya uchi ilikua kiboko..
Yule anayekaba akiona mnamsumbua sana anatoa mpira anaweka jiwe. Watu wametenguka miguu hatari. Si unajua spidi anazokuja nazo mtu akija kukomboa afu akute ni jiwe sio mpira
Sisi watu walibadilishana nguo. Kuna wavulana walivaa magauni basi yule anaezinga anachachawa kutaja jina.Watu wanabutua.

Kombolela ya saa 12 jioni kwenda saa moja ilinoga sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muha harogeki mkuu.
Mbona kwetu wali ulikua adimu tunaweza kaa hata 3 months bila kula wali ila siku ukijojoa unatoa ubwabwa
Duh! Wale kila mtu wanaona mvamizi[emoji23]

Nasubiri zawadi yangu usijikaushe ntakuroga[emoji12][emoji12]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom