Some childhood memories

Yap ...niliuza maembe ya nyumbani(tulikuwa na miti) nikapata hela nikanunua..

Sent from my Infinix X559C using Tapatalk
Sikuwqhi miliki wala kucheza hii gemu..utotoni sijawqhi miliki zaidi ya 200 (tulikatazwa kutafuta hela)
 
[emoji1787] mie huo wa kimama kuna li jamaa lenyewe lilikuwa linapenda mi niwe mama na mimi akili yangu ilikuwa kubwa nkajua anataka nini huyu, basi tukilala sichukui muda nawika [emoji23][emoji23] akawa anamaindi anasema wanawake hawawiki...Fadhili huyo...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikuwqhi miliki wala kucheza hii gemu..utotoni sijawqhi miliki zaidi ya 200 (tulikatazwa kutafuta hela)
Aiseee ,,sisi wachaga ruksa tena mzee alinipa sapot kabisa ya kunidondoshea na kunivundikia maembe, nikitoka shule nabeba beseni langu naenda kuuza habari sipati

Sent from my Infinix X559C using Tapatalk
 
Huu mchezo na Tobo dunda ulitakiwa uwe na mbio sanaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mitaa ya kwetu kulikua na kukodisha baskel mnavizia ile jion mnakodsha ya kulala bas jion yote mpka usiku mnaendesha tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kuna dada alikua na vinyonyo vidogoo kipind tuko chuo tukawa tunamwambia tafuta fukufuku vikue hvyo

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vile sidhani Kama vinafanya kazi ukubwani..hata utotoni kwenyewe sidhani Kama ilikuwa kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…