Sometimes tufundundishane tu Kwa njia ngumu ili heshima iwepo, huyu nyangwisi hatanisahau 😎

Sometimes tufundundishane tu Kwa njia ngumu ili heshima iwepo, huyu nyangwisi hatanisahau 😎

secretarybird

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2024
Posts
23,984
Reaction score
51,055
Mwaka jana, mwezi wa 4 nikiwa katika harakati za kueneza kampeni ya kataa ndoa hapa mtaani, alitokea bishoo mmoja na kusema, "bro wewe unajifanya kataa ndoa kumbe jogoo lenyewe haliwiki, unajifanya kataa ndoa ili kuficha ugumba wako.....hivi wewe unaijua raha ya ndoa?".

Aisee! Ile kauli ilinikera hadi nikaapa kuwa nitamuonesha kazi huyu boya. Bila kusita nikafanya juu chini ili nimjue mke wake. Mungu si Busu la Kenge nikaoneshewa mke wake, nami nikajisema, namtia ujauzito na kuiacha copy yangu kwenye famila yake.

Nilifanya hila zangu hadi nikapata kungonoka na bibie yule. Nilijamiina naye mara kadhaa hadi siku moja aliponiambia anaujauzito wangu. Nilifurahi sana kusikia hivyo huku kimoyomoyo nikijisemea,"Ee Mola naomba nitoe fotokopi".

Sasa, yule mwanamke amezaa na mtoto kafanana nami sana, nilitumiwa picha ya mtoo na ma yake, yaani nikiiagalia ile picha na picha yangu nashindwa kujitofautisha. Nasikia jamaa amewehuka na anajuta kwa nini aliniambia yale maneno ya kipuuzi.

Katika hata maisha usipotaka kufundishwa kwa amani basi utafundishwa kwa njia ngumu sana.

Huwa sivumilii madharau na huruma wala si malezi 😎.
 
HN0vfACWYAE73ZY.jpg
 
Back
Top Bottom