Babe la mji
JF-Expert Member
- Dec 14, 2019
- 983
- 2,058
Waoromo ambao ndo kabila kubwa Ethiopia wamekubali kuungana Tigray waanze mashambulizi kuingoa serikali ya shilikisho ya waziri mkuu.Kazi ipo na lazima watampindua ni swala la muda tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameyataka mwenyewe uyoWaoromo ambao ndo kabila kubwa Ethiopia wamekubali kuungana Tigray waanze mashambulizi kuingoa serikali ya shilikisho ya waziri mkuu.Kazi ipo na lazima watampindua ni swala la muda tu
Kwa nchi za kimaskini ukiweka majimbo watu wanajitenga chap kidog😂😂😂
Mkuu serikali ya majimbo ni ya ukweli kama mpo vizuri si unawachek USA wanasonga pia ina hatari zake
Pia hizi serikali kama zetu pia zina majanga yake si unawachek msumbiji
Ishu ni nchi na uongozi unaendaje hii mifumo ipo tu
Na hatujamkumbuka au muda bado?Usifike mbali mkuu
Nia ya mzee ilikuwa njema kwa taifa hili that's why alisema mtanikumbuka