Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
- Thread starter
-
- #21
UEFA champions league mmechukua lini kwa Mara ya mwisho?
Ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi,it's always quality > quantity. Nakuomba urudi tukifika kweye finals, utatafuta jinsi ya kumeza kauli zako mwenyewe.The league of superstars will always maintain it's top level.
epl is back in uefa sitashangaa wakitambaa kwa miaka 3 mfululizo ijayo
Hivi bigwa wa FUTUHI ni nani kwa sasa? Sio Manure kweli? maana naona unaponda Uropa League wakati kuna mijitu imewatoa hadi leo mnajitamba hapo.Kwahiyo Ubora Wa Ligi Ni Kutolewa Kwenye Makundi Ukasukumizwa Kule Kwenye Mechi Za Ijumaa za Europa Kama Alivyofanywa Atletico Madrid ama?
Hivi bigwa wa FUTUHI ni nani kwa sasa? Sio Manure kweli? maana naona unaponda Uropa League wakati kuna mijitu imewatoa hadi leo mnajitamba hapo.
Ukitaka burudani ya mpira angalia LA LIGA ukitaka kuangalia mboyoyo na kelele nyiiiingi nenda EPL
Real msimu huu yupo hoi timu haiekeweki keshachapwa na Spurs na La Liga yupo # 4 ......UCL msimu huu hakuna muujiza atajaoufanya hata apabgwe v Liverpool hapiti !!Kila kitu na wakati wake, unapoambiwa la liga ni ligi bora ina maana ndani ya misimu hii ya karibuni timu zake zimekuwa zikifanya vizuri zaidi kwenye uefa zaidi ya ligi nyingine
Uingereza wamekuwa hoi kwa kipindi kirefu, labda wafanikiwe msimu huu, ambapo naona kuna dalili nzuri basi nayo itapewa hadhi hiyo..
Lakini ni mapema sana kusema hayo, huwez kuilinganisha la liga na epl kisa tu timu 5 zimepenya ukiulizwa miaka mi5 epl katka uefa na ueropa wamefanya kipi cha ajabu kumfikia la liga hakuna super cup kibao wamecheza wahispania wenyewe ndani ya miaka mi5
Kikubwa sasa timu za epl zifanye kweli, sio tuisifie ligi tu kisa kuna machama tunashbikia.
Kinachoongelewa ni mwenendo wa timu zote 5 kuingia 16 bora tena 4 zikiongoza makundi huoni ni jambo kubwa ?Kitendo cha kushangilia team za EPL kuingia last 16 kinaonyesha jinsi gani mlivyo na hali mbaya wazee wa EPL.
Hizo zinaitwa rekodi uchwara!
Sisi huku LA liga tunaongelea records kama kushinda UEFA back to back.
Unaongelea kuongoza kundi?
Unajua ni mara ngapi Barca ameongoza kundi kwenye UEFA mfululizo?
Hebu tulieni kwanza wana EPL, angalao mkijitahidi kufika nusu fainali tutaongea.
Maana katika team zote za EPL ni Tottenham pekee ndo amekutana na misukosuko.
Hebu mkifika nusu fainali utukumbushe mkuu!
hahahaahahahArsenal kutoshiriki UCL kumeinufaisha EPL ndio maana now wanatamba UEFA
Arsenal alikuwa uchochoro kwa Wahispaniola na Wajerumani
Naombea Arsenal hata Europa asichukue maana akija UCL hana faida !!!
Kitendo cha kushangilia team za EPL kuingia last 16 kinaonyesha jinsi gani mlivyo na hali mbaya wazee wa EPL.
Hizo zinaitwa rekodi uchwara!
Sisi huku LA liga tunaongelea records kama kushinda UEFA back to back.
Unaongelea kuongoza kundi?
Unajua ni mara ngapi Barca ameongoza kundi kwenye UEFA mfululizo?
Hebu tulieni kwanza wana EPL, angalao mkijitahidi kufika nusu fainali tutaongea.
Maana katika team zote za EPL ni Tottenham pekee ndo amekutana na misukosuko.
Hebu mkifika nusu fainali utukumbushe mkuu!
Mapenzi na unazi uwa ni tatizo siku zote... una mkataza mwenzio kukalili historia na kudai upo una simama ktk wakati uliopo... yeye kwa hoja yako ameenda mbali zaidi na kusema kuwa hatoshangaa kwa wakt ujao kuwa kombe likaenda laliga...Nyinyi Endeleeni Kukariri Historia (Real vs Atletico)..... Wakati sisi tunaendana na Wakati uliopo....
ushindani upi hapo unao uzungumzia mkuu... kama ni kuchukua kombe basi EPL watoe Spurs, arsenal, liverpool, na ikiwezekana Man utd... kwa kuwa wamebaki ni historia na hakuna walicho beba kwa siku za karibuniBack-to-Back??
Ukiongelea back to back Hata Uengereza Ni Timu Mbili Zimeshawahi Kuchukua CL back to back rudia Historia uone.. Lakini Hapa Mimi sipo kihistoria Bali Naongelea Wakati Uliopo na Kinachoendelea...
Kwa Wakati Huu Chukua Timu 6 za juu za Laliga na Timu 6 za Juu za EPL halafu zichezeshe Uone Ukitoa Barcelona Kama Yupo Mwengine Atakayeweza Kushinda Hata Mechi Moja...
Achana na Historia Kubali Ukweli Kuwa EPL Kwa sasa ipo Juu tu...
Germany:
Timu ya Ushindani Ni Moja Beryan Pekee...
France:
Timu Ya Ushindani Ni Moja PSG Pekee...
Italy:
Timu ya Ushindani Ni moja Juventus Pekee....
Spain:
Timu za Ushindani Ni Mbili Real na Barcelona Pekee....
England:
Timu za Ushindani Ni 6:
1) Liverpool
2) Man United
3) Chelsea
4) Man City
5) Spurs
6) Arsenal
Halafu hapo still mtu anapinga ubora Wa EPL!! Jamani Hizi Akili za WaTZ zipo kichwani Kweli????