Kila kitu na wakati wake, unapoambiwa la liga ni ligi bora ina maana ndani ya misimu hii ya karibuni timu zake zimekuwa zikifanya vizuri zaidi kwenye uefa zaidi ya ligi nyingine
Uingereza wamekuwa hoi kwa kipindi kirefu, labda wafanikiwe msimu huu, ambapo naona kuna dalili nzuri basi nayo itapewa hadhi hiyo..
Lakini ni mapema sana kusema hayo, huwez kuilinganisha la liga na epl kisa tu timu 5 zimepenya ukiulizwa miaka mi5 epl katka uefa na ueropa wamefanya kipi cha ajabu kumfikia la liga hakuna super cup kibao wamecheza wahispania wenyewe ndani ya miaka mi5
Kikubwa sasa timu za epl zifanye kweli, sio tuisifie ligi tu kisa kuna machama tunashbikia.