Somo kwa wahafidhina wa Laliga

Je Timu ya Uengereza yaweza Kucheza Fainali ya UCL?

  • Ndiyo

  • Hapana

Results are only viewable after voting.
Na hata ukitaka kujua ligi bora ni ipi kwa sasa utaambiwa tu ni la liga..utabishia kwa vigezo gani mfano ?
 
Na hata ukitaka kujua ligi bora ni ipi kwa sasa utaambiwa tu ni la liga..utabishia kwa vigezo gani mfano ?
Sasa wewe weka vigezo, maana PSG atachukuwa ubingwa na uwezo wanao na legue 1 itakuwa bora. Ligi bora ni ile yenye kupendwa nà yenye thamani kubwa sasa EPL thamani yake ni mara 3 ya La liga. Haiwezekani kitu bora ununue cheap.
 
Mkuu mbona mapema sana...ungesubiri michuano iishe ndipo uanzishe thread yako.

Alafu unasema "Halafu Leo Wanatokea Misukule from Nowhere wanakwambia "LALIGA NI LIGI BORA UKILINGANISHA NA EPL= ubora wao uko vipi? Miaka yoote ligi yao mbovu na hukusema kitu 😀😀 only one season ndio wamekuaminisha kuwa wao ni bora!! ...so last year's mbona hukuja na thread yako hapa, au wale walikuwa sio epl team's?? 😀😀 hiyo ni nguvu ya soda kamanda...labda CITY ndio atajitahidi lakini sio hao wengine.
 
Sasa wewe weka vigezo, maana PSG atachukuwa ubingwa na uwezo wanao na legue 1 itakuwa bora. Ligi bora ni ile yenye kupendwa nà yenye thamani kubwa sasa EPL thamani yake ni mara 3 ya La liga. Haiwezekani kitu bora ununue cheap.
Hiko kigezo hakipo... na Lig 1 au ligi yoyote ile kwa sasa haina uwezo wa kuipiku laliga labda kwa miaka mitatu ijayo... kama utapitia vigezo walivyo weka UEFA... kwanza kwa timu zao kufanya vizuri ktk ligi za uefa na uropa ndipo point wanapo vuna laliga... kwa kuingiza timu nyingi na kuchukua makombe hayo na pamoja na kufunga magoli mengi na kupelekea wafungaji bora kutoka huko... katika UEFA na Uropa...

kitu kama hiki hakiwezi kufikiwa kwa kiwango cha msimu mmoja na kwa timu moja zina itajika timu nyingi zivune point kwa kasi... na sio timu moja na sio kwa kombe moja tu la uefa chapms kwa kuwa wana jumuisha na uropa ligi...

NB:
Everton ana onesha maajabu huko ya EPL na kuyapeleka Uropa Hahahahahahahahahahah.... Ukitaka kujua maajabu gani fatilia...
 
Yani unaongea utafikiri mchambuzi wa soka aliebobea dah 😀😀

Yani kuondoka kwa NEIMAR ndio timu ya Barca imeporomoka!!! Kweli!!! Hahaa Unatazama mpira au unasikilizia redioni mkuu?? Neimar kaondoka Barca ndio inazidi kuwa tamu zaidi na inarudi ile ile ya 2008,2012 na 2015 ikiongozwa na bingwa wa tick-tak LEO10 asiekuwa na mpizani.

Kuondoka kwa Messi BARCA itaathirika vibaya mno mno mno...lakini sio yule mtoto mwenye gundu/anaeuza sura
 
Swala la kuangaliwa na watu wengi sio haja kwan hiyo inatokana na investment kwenye advertisement, ila kwa sasa laliga nao wamefunguka so watu wengi wanaanza kuijua na kuifurahia
 
King Ngwaba KAMA UEFA NDIYO KIPIMO CHA LEAGUE BORA BASI [HASHTAG]#LALIGA[/HASHTAG] SANTANDER NI BORA KWA KUWA WAMECHUKUA VIKOMBE VYA UEFA CHAMPIONS LEAGUE MARA NYING KULIKO LEAGUE YOYOTE ILE ULAYA.
 
King Ngwaba KAMA UEFA NDIYO KIPIMO CHA LEAGUE BORA BASI [HASHTAG]#LALIGA[/HASHTAG] SANTANDER NI BORA KWA KUWA WAMECHUKUA VIKOMBE VYA UEFA CHAMPIONS LEAGUE MARA NYING KULIKO LEAGUE YOYOTE ILE ULAYA.

Hapa Hatupo Kihistoria Bali Tupo Kwa Kile Kinachoendelea Sasahivi...

Huwezi Uchukua Ubora Wa Mababu Zetu Ukaufanya Ndiyo Wetu sisi...

Leta Facts za sasa zinazoonekana Sio zilizoandikwa Magazetini.
 
Nani aliyebeba Uefa Mara tano mfululizo zaidi ya La liga????? La liga is the best league bhana mnajitoa fahamueeeee!!!!????

Sisi Tupo December 7, 2017 wewe ndiyo Kwanza Unazungumzia 1965??

Sisi Tunazungumzia Real Ya Ronaldo Gay na sio ya De Stefano...

Na Bahati Mbaya Mimi Nilisoma PCB sikusoma HKL kama nitakuwa Mwalimu Mzuri Wa Historia.
 
Swala la kuangaliwa na watu wengi sio haja kwan hiyo inatokana na investment kwenye advertisement, ila kwa sasa laliga nao wamefunguka so watu wengi wanaanza kuijua na kuifurahia

Hivi Ukiitoa El Clasico Ni Mechi Gani Watu Wanayoifatilia?

Huko Kujuolikana Hicho Kijiligi Chenyewe Ni Kwa Hisani Ya Azam TV kuwaletea Huduma Karibu... Venginevyo Mungeendelea Kuifatilia EPL Dstv....

Na Wapenzi Wa Laliga Kwa Asilimia 98% Ni wale Walioanza Kupenda Mpira Kuanzia 2009 kwa Kumjua Messi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…