dem boy
JF-Expert Member
- Nov 4, 2016
- 6,580
- 15,739
Na hata ukitaka kujua ligi bora ni ipi kwa sasa utaambiwa tu ni la liga..utabishia kwa vigezo gani mfano ?Mimi nadhani tusipime league bora na kuchukua ubingwa wa CL. League bora yenye wapenzi wengi duniani na kwa hili naamini wote tunajuwa ni league gani. Leo PSG akichukuwa ubingwa tutasema league ya France ni bora? Porto alivyochukuwa ubingwa league ya Ureno ilikuwa bora? Mimi nadhani ni vitu viwili tofauti, Real, Barca, Munich, PSG na Juve zote team kubwa na nzuri sio kazima league za bora. EPL inaangaliwa na watu wengi na value yake ni kubwa sana na kitu kizuri kina thamani.