Somo kwa wahafidhina wa Laliga

Je Timu ya Uengereza yaweza Kucheza Fainali ya UCL?

  • Ndiyo

  • Hapana


Results are only viewable after voting.
viwango vibovu sio vinavyo kalibiana.... hakuna ushindani ni kelele nyingi tu hamna kitu pale...
 
Acha porojo nimekwambia njoo tuandikishane huo mkataba
 
Kwa season 10 ilopita, kombe la UEFA limeenda spain mara 6, barca mara 2 na real mara 4.
Mara ya mwisho mchezaj bora kutoka epl ilkua lin??
 
Kwa season 10 ilopita, kombe la UEFA limeenda spain mara 6, barca mara 2 na real mara 4.
Mara ya mwisho mchezaj bora kutoka epl ilkua lin??

Wewe Unaweweseka Na Ndiyomana Hujui Hapa Watu Wanajadili nini..
 
Huu uzi ni matokeo ya furaha ya Liverpool kushinda 7-0. Otherwise kwa kuwa muhusika hataki kujadili yaliyopita isipokuwa yanayojiri msimu huu, well and good. Tukutane naye May tuone 5 EPL vs 3 La LIGA vs 2 (SERIE A) Vs 1 (other leagues)6.
 
Naomba huu uzi usiufute maana wanafiki kama nyie hamchelewi kubadilika badilika kama taxi bubu
 
EPL au EFL?

sevilla kachukua mara ngingi pia europa itabidi amuongeze ktk idadi ya timu zinazo compete pale laliga... bila kusahau wakina AT, AB, VL, VR nk...

celte ana mfunga sana barca huyo vipi.... nae...

Umeshindwa kusoma nilichoandika?
 
IWAPO TIMU ZISIZOPUNGUA 2 KATI YA TIMU 5 ZILIZOFUZU LAST 16 HAZITATINGA SEMI FINAL BASI NITAJIPIGA BAN YA KUTOZUNGUMZIA CHOCHOTE HAPA JF KUHUSU CL MPAKA MSIMU UISHE
 
Mimi Nina Uhakika na Ninajiamini Kuwa Ninatamka Wazi CL marahii inatua Uengereza! isipokuja basi Salary Yangu Ya Miezi 6 ya Kazini Naichoma Moto Hadharani..

Nani Yuko Tayari Tubeti?
 
Mashabik wa epl mnalazimisha sana mambo ila huwez kuwa na ligi bora kama huna wachezaji bora, ukweli ni kwamba laliga inaifunika epl
 

Technical hakuna ubora kwenye ligi ya EPL.....
1.British Football Imperialism through Media Empirialism ndicho kilichowabeba EPL walikuwa wajanja kutoa ligi yao ionekane mataifa mengine kwa muda sahihi
2.EPL ilivutia mataifa mengi hasa baada ya kukaribisha wachezaji wa mataifa mbalimbali tena wakiwa hawana ubaguzi wa kiwango cha juu kama Italy,German na hata Wahispania wenyewe

Mataifa mengi Tanzania ikiwemo yalikuwa hayana option ya kuangalia mpira hivyo Uingereza walijipatia umaarufu.
Licha ya La Liga kuwa bora mataifa mengi hasa ya Africa mashariki hayakupata nafasi ya kuangalia mechi za La Liga kutokana na muda wa kick off lakini walitambua hili na ndio maana hata watanzania sasa tumeanza kufuatilia la liga.
Wanashindwa kutofautisha kati ya UBora na Umaarufu.......EPL ni maarufu na kupitia hilo imeweza kuvutia wachezaji wengi baada ya matangazo ya TV kuwaingizia mabilioni ya fedha.
 
Ndugu yangu Valencia shughuli gani? Ni team ndio mwaka huu imeanza kurudi kwao ndani. Sevilla ni team za misimu tu zinakuja na zikipotea zinapotea vibaya kama deportivo. Athletico circle yao inaisha kama ile ya 1996. Ni team hazina muonekano kama wa Barca na Madrid. La liga ni team mbili tu hizo zingine kama mvua za msimu.
 
Kwa hiyo kwa maneno yako wakati Real Madrid waliposubiri miaka 30 kushinda tena CL toka 66 mpaka 98 walikuwa wabovu? Real ni team kubwa hata miaka hiyo japo hawakuweza kuchukua ubingwa. Barca ina history team kubwa wameanza kuchukuwa CL 92 miaka yote zero. CL ni circle tu kila mtu anapita halafu anapotea. League bora ni league ya ushindani ila watu humu tuko katika CL. Ukifika knock out stage hata ukiwa mzuri unaweza ukapigwa na team ya kawaida.
 
Timu za la liga zimelichoka hilo kombe maana miaka mitatu mfululizo wanachukua,fainali mbili zikihusisha timu za la liga ndani ya miaka minne. Msimu huu ni upepo tu umeegemea upande wenu EPL na mtashangaa hatua zinazofuata mnaondolea wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…