Godfrey- denis
Member
- Aug 26, 2022
- 64
- 124
🔁 Kumbuka: Katika somo lililopita tuliongelea tarehe muhimu za kuzingatia wakati wa gawio.
Siku ya leo tutaangazia maswali muhimu ambayo inabidi ujiulize kabla ya kuwekeza.
Unajiuliza lini uanze kuwekeza? 💭💰
Kabla hujachukua hatua ya kuwekeza, kuna mambo maswali muhimu inabidi ujiulize.
❓Je, una emergency fund? 🚨💼
Kabla ya kuwekeza, hakikisha una akiba ya dharura ya miezi 3–6 ya gharama za maisha. Hii ni ngao yako dhidi ya matatizo ya ghafla kama magonjwa au kupoteza kazi.
❓Je, una madeni yenye riba kubwa? 💳🔥
Kama unadaiwa na riba ni kubwa ni bora kulipa kwanza kabla ya kufikiria kuwekeza.
❓Je, utahitaji hiyo pesa muda wowote hivi karibuni? ⏳Kama ndio, basi hujafikia muda sahihi wa kuwekeza. Hifadhi hiyo pesa kwa matumizi ya karibu.
❓Je, unaelewa aina ya uwekezaji unayotaka kufanya? 📚📊
Usiwekeze tu kwa sababu watu wengine wanafanya hivyo. Jifunze vizuri na fahamu unachoweka pesa zako.
✅ Ukikidhi haya yote — hongera! Uko tayari kuanza kuwekeza.
❗Lakini kama bado hujakamilisha haya mambo, usiwe na haraka! Anza kwa kuweka akiba, kulipa madeni, na kujifunza zaidi kuhusu uwekezaji.
Elimu ya fedha ni hatua ya kwanza ya uhuru wa kutilize.
Usikose somo lijalo 🫵
GODFREY DENIS
0763721523
Millennium Investors Community Co-founder