SOMO LA BURE: Namna ya kuagiza bidhaa kutoka CHINA kwa ajili ya biashara (jumla) Kupitia Mtandao alibaba kwa kutumia simu yako

Sorry naongelea Alibaba

The displayed price differ from the real product price
hili ni somo ambalo unapaswa kukaa chini kufahamishwaa... huelew ni namna alibaba wanaonesha bei zao.....

halafu usiwe unaangalia bei kwa tzs hapo ndio itakuvuruga kabisaa
 
hili ni somo ambalo unapaswa kukaa chini kufahamishwaa... huelew ni namna alibaba wanaonesha bei zao.....

halafu usiwe unaangalia bei kwa tzs hapo ndio itakuvuruga kabisaa
Hapo sawa hebu nifahamishe mkuu maana huwa siwaelewi

Wamedisplay product price tsh 1,700 kwenda inbox wanasema $8 nimechoka
 
Ndomaana kaweka contact Ili ufunzwe.Watu kama nyie huwa hamkosi,maelezo ya kina hivyo,hujaelewa?
Bora umpigie akueleweshe uelewe mazima,uepukane na kupigwapigwa na wajasiriamali.
Kuanzia hapo kwenye supplier na security ya Alibaba ndo.mtihani unaanza
 
Kuanzia hapo kwenye supplier na security ya Alibaba ndo.mtihani unaanza
Huu mwongozo nilioutoa kuna watu wameufuata kwa utaratibu na kuweza kuagiza bidhaa zao wenyewe na kurudi kuleta shuhuda na pongezi pia.

Kama unajiona hujiamini katika mwongizo nilioutoa nitafute kwa mawasiliano niliyoweka mwisho wa uzi hapo.

Nitakushika mkono kukusaidia hatua kwa hatua mpaka unafanikiwa kuagiza mzigo wako mwenyewe.

Whatsapp +255 677 818283
 
I
Nimeuliza CBM nimepewa majibu hayo sijamuelewa
 
Attachments

  • Screenshot_20241223-145722.png
    136.6 KB · Views: 10
Kuanzia hapo kwenye supplier na security ya Alibaba ndo.mtihani unaanza
Wala hakuna mtihani hujapata elimu sahihi na hata ukifuata maelekezo yangu niliyotoa hapo unafanikiwa vizuri tu
 
Nimeanza kutafuta pesa tangu 1999 hakuna chochote nisichokijua kuhusu watu na pesa
Na mpka sasa bado unatafuta.Dunia ya kisasa imeshakuacha ndugu. Unaleta utafutaji wa pesa wa 1999 mwaka huu wa 2024.
 
Na mpka sasa bado unatafuta.Dunia ya kisasa imeshakuacha ndugu. Unaleta utafutaji wa pesa wa 1999 mwaka huu wa 2024.
Nikuambie kitu mambo ya pesa hayahitaji blahblah tena nikuambie kitu dunia ya sasa ndiyo yenye dhulma sana na ujanjaujanja mno
 
Nikuambie kitu mambo ya pesa hayahitaji blahblah tena nikuambie kitu dunia ya sasa ndiyo yenye dhulma sana na ujanjaujanja mno
Hakuja ujanja ujanja... ndio dunia ilipo.wewe sema tu dunia ya kisasa imekuacha na ujuzi wa kwenda nayo umekushinda.

Ndo nyie mtu akikwambia yupo bongk ila anafanya kazi za online na kulipwa mnasema utapeli kumbe ni dunia ya kisasa msiyoijua
 
Nikuambie kitu mambo ya pesa hayahitaji blahblah tena nikuambie kitu dunia ya sasa ndiyo yenye dhulma sana na ujanjaujanja mno
wewe unachokosa ni ujuzi ndio maana bado utatumia nguvu nyingi kuendes mambo yako katik dunia iliyorahisishwa
 
wewe unachokosa ni ujuzi ndio maana bado utatumia nguvu nyingi kuendes mambo yako katik dunia iliyorahisishwa
Ninachohitaji duniani ni pesa na sio blahblah shida yako ni moja unaamini mno nadharia....hayo yote nimeshawahi kuyafanya na nikayaona matokeo yake kiukweli utakuwa mjinga mno uagize bidhaa mathalani nguo online kwa mtaji ambao ukiamua kwenda china unaenda vizuri tu bila wasiwasi...mimi naitwa mnachihangu nipo na ofisi mtwara mjini na Tunduru ungekuwa huku ningekualika uje uone vitu nilivyopigwa kwa mfumo huo
 
Miaka yangu yote ya biashara sijawahi kanyaga china na wala usa lakini biasharw ninaifanya bila kunyanyua mguu popote.

wew baki na unachoamini na sisi wa kisasa tubaki tunachoamini wala hakuna ugomvi wala mashindano..

Naamini ulipigwa kwa kukosa maarifa ya namna ya kufanya hii biashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…