SOMO LA BURE: Namna ya kuagiza bidhaa kutoka CHINA kwa ajili ya biashara (jumla) Kupitia Mtandao alibaba kwa kutumia simu yako

Ila mkuu kuna taarifa Alibaba kuna ma middlemen wengi sana.
Yaani madalali wa kutosha.
Alibaba hata wewe hapo unaweza fungua account na kuanza kuuza bidhaa ukawa dalali.

Sasa kwa wazoefu na wafanyabiashara kuna tips za kujua unafanya biashara na kiwanda au agent....

kwahiyo hizo taarifa zina ukweli..
 
silent ocean hawana huduma ya ndege.. kuna shamwaa hawa ndio wana sea cargo na air cargo

Mzigo kujua gharama ya kusafirisha inabidi ujue uzito (kg)...ndio utajua gharama ya kusafirisha kwa ndege..

na kujua gharama ya kusafirisha kwa meli mzigo unapimwa kwa ujazo (cubic meter)..

kwahiyo kujua gharama ya usadirishaji kwanza fahamu uzito na ujazo wa mzigo.
 
Hi
Hii ngoja nilale nayo ntaisoma Kesho....
 
Asante mkuu Kwa elimu, nimepata maarifa mapya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…