Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi naagiza vitu vidogo ila napokea mkoa wangu Niko moro wananiletea kwenye ofis ya kikuuUkiagiza mzigo kwa Alibaba na Aliexpress ,agent akileta mzigo utaufuata Dar au wanakutumia mpaka mikoani ?
Mfano nataka kuagiza eirphones USB na aipod ila nataka waniwekee kwenye mzigo mmoja je inawezekana?karibu sana
App zipi hizo mkuu .nitajie kama hutojaliKumbukeni alibaba ni kama mtu wa kati tu
kama una mtaji mkubwa zama china kabisa uende kiwandani ukachukue zigo
maana kuna app za kichina zinauza rejarejabbei easy kuliko alibaba wanasema jumla
Ali express ,Temu na Made in ChinaKumbukeni alibaba ni kama mtu wa kati tu
kama una mtaji mkubwa zama china kabisa uende kiwandani ukachukue zigo
maana kuna app za kichina zinauza rejarejabbei easy kuliko alibaba wanasema jumla
Ali express ,Temu ,Shein na made in chinaApp zipi hizo mkuu .nitajie kama hutojali
SAhihi.Vitu kama laptops, computer displqy unaweza safirisha kwa meli na inakuwa kwa cbm!?
Mkuu, Alibaba na Ali Express ni app za kampuni moja. Alibaba ni kwa ajili ya manunuzi ya jumla (utauziwa bei ya jumla na mzigo unakuwa una idadi ya kuanzia - labda pisi 5 na kuendelea) huku aliexpress ni ni kwa ajili ya manunuzi ya rejareja, unanunua hata kitu kimoja tu.Ali express ,Temu ,Shein na made in china
Yeah najuaMkuu, Alibaba na Ali Express ni app za kampuni moja. Alibaba ni kwa ajili ya manunuzi ya jumla (utauziwa bei ya jumla na mzigo unakuwa una idadi ya kuanzia - labda pisi 5 na kuendelea) huku aliexpress ni ni kwa ajili ya manunuzi ya rejareja, unanunua hata kitu kimoja tu.