SOMO LA BURE: Namna ya kuagiza bidhaa kutoka CHINA kwa ajili ya biashara (jumla) Kupitia Mtandao alibaba kwa kutumia simu yako

SOMO LA BURE: Namna ya kuagiza bidhaa kutoka CHINA kwa ajili ya biashara (jumla) Kupitia Mtandao alibaba kwa kutumia simu yako

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    1.7 MB · Views: 58
Mkuu kupata paypal Tanzania inakuwaje?Niliskia kuwa hawana contract na bank zetu,unaweza ku receive money lakini ku withdraw ni issue...
Nakusihi unielekeze namna ya kupata Paypal. Thanks
 
Pia mkuu Masterchief ninakushukuru saana kwa uzi making.

Nina mdogo wangu anamaliza chuo mwaka huu ninamtumia link ya huu uzi asome kila kitu then nitampa pesa kidogo aagize ninchotaka ili ajifunze baadae tuifanye kuwa fursa
Wewe jamaa Una akili Sana Fanya hivyo, ila mdogo mdogo
 
Nilikuwa nahitaji hili portable speaker
Screenshot_20240422-144355.png


Lakini nikiangalia bei yake ni ndogo kuliko shopping cost kama ilivyo hapo chini nafanyaje hapa?

Screenshot_20240422-144416.png
 
Nilikuwa nahitaji hili portable speaker
View attachment 2971008

Lakini nikiangalia bei yake ni ndogo kuliko shopping cost kama ilivyo hapo chini nafanyaje hapa?

View attachment 2971009
Nilikuwa nahitaji hili portable speaker
View attachment 2971008

Lakini nikiangalia bei yake ni ndogo kuliko shopping cost kama ilivyo hapo chini nafanyaje hapa?

View attachment 2971009
Maelekezo mbona yametolewa. Jitahidi kusoma. Wewe unatafuta product kisha unamtafuta agent wa Tanzania mwenye ofisi china. Utaangalia cost kama ni meli au ndege utapewa gharama.
 
Uzi safi

Beba maarifa ila usihadaike na urahisi wa bei.

Fanya utafiti wa kutosha, ingia youtube angalia reviews za hizo bidhaa haswa za umeme.

Kuna watu wengi wamepata hasara kwa kukurupuka, wachina nao ni washenzi, inabidi uwe mshenzi zaidi ili kulijua soko, na bidhaa zako.

Mfano mdogo tu blender aliyotolea mfano mleta uzi, nazifahamu vyema ni takataka, ni mbovu kupindukia zinakufa hovyo, na yote hayo ni kwasababu mchina katumia material zisizokidhi viwango na hivyo kupelekea gharama kuwa chini, kwasababu yeye hajali ikija kukufia huku TZ kama ela yako anakua keshaitafuna kitambo na huna cha kumfanya unabaki na mzigo wa mali mbovu, inabidi na wewe ujenge uhasama na wateja wako maana zitawafia na jina litachafuka.
 
Back
Top Bottom