SOMO LA BURE: Namna ya kuagiza bidhaa kutoka CHINA kwa ajili ya biashara (jumla) Kupitia Mtandao alibaba kwa kutumia simu yako

Mkuu MASTERCHIEF 255 ,nini hupelekea bei ya usafirishaji wa bidhaa inakuwa mara kumi ya bei ya bidhaa lengwa,na ni mbinu gani nitumie kuepuka kadhia hiyo?

Angalia hiyo pressure cooker inauzwa 90K ila gharama za usafirishaji ni 600K
 

Attachments

  • Screenshot_20240403-160712.png
    326.2 KB · Views: 81
Ukiagiza mzigo kwa Alibaba na Aliexpress ,agent akileta mzigo utaufuata Dar au wanakutumia mpaka mikoani ?
 
Asante kwa somo nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…