Somo la 'Historia ya Tanzania' alilotaka Magufuli lasitishwa

Somo la 'Historia ya Tanzania' alilotaka Magufuli lasitishwa

Kuna watu walikula maposho kuandaa mihutasari ili tu jina la Jiwe ling’ae
Sio kweli lakini Hayati alisisitiza Historia ya kweli ya Taifa letu sio kwa bahati mbaya cos kuna mambo mengi yanamkanganyiko mpaka leo moja wapo kifo cha Mkwawa na pia Mapinduzi ya Zanzibar
 
Hivi hili lilikuwa liwe somo kabisa kama vile ilivyo kiswahili au ni topic tu katika somo la historia (kitu ambacho nadhani topic hio/hizo zipo)....

Au alitaka kuanzisha somo la Propaganda...
Somo lilikuwa iloilo la History lakini ilionekana kuna mengi yamefichwa that's why alisisitiza Historia ya kweli ya Taifa letu.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
"Mimi na Magufuli ni kitu kimoja" dadavua sentensi hii
Mwanafunzi geuza sentensi hizi kuwa swali;

1) Magufuli was a historical president, wasn't he???

2) Magufuli took all the money, tooku'nt he??? [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]

Excerrreeeent, verre guuuud!!!! Hebu tumpigie yare makofi yetu huku tunamuimbia na kawimbo ketu. . . "Hongera, waah[emoji122], imara waaah[emoji122]!!!!"
 
Somo lilikuwa iloilo la History lakini ilionekana kuna mengi yamefichwa that's why alisisitiza Historia ya kweli ya Taifa letu.
Kweli according to who ?, Si angeandika kitabu tu History of Tanzania according to Magufuli ili kitabu kiweze kuchambuliwa na kuwekwa kwenye mizani na mwenye kuamini na aamini kuliko kuwalazimisha watu kwamba huu nisemao mimi ndio ukweli...

Busara ni kama unapinga kitu kielezee kwa mujibu wa wewe unavyojua alafu kiweke kwenye mainstream na sio kubalisha vitu jumla jumla
 
Embu fatilia hotuba zake youtube uone kama kuna sehemu alishinikiza kiandikwe kitu fulani
 
Back
Top Bottom