Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maswali yako magumu hayawezi kujibiwa sana sana anaweza tumwa mtu akasema "tulikuwa tunatania tu"Hao mambwa walioleta hii vurugu ni maiti kabisa, kipimo cha huyu mwanamke ni mambo kama haya ameweka akili matope kwenye wizara ya tamisemi, najiuliza hivi Mkenda amebariki utumbo huu au waislam wameuteka serikali yote?
Kama wameshindwa kusoma elimu Dunia ujinga wao watutolee Tanzania ni Secular Government nadhani hata Hilo pia ni kama ndugu zetu upande wa pili hawakusoma faida zake.. Mambo ya Dini Ni vyema yakatenganishwa na Nchi maana imani tuko nazo nyingi Sana.. na wapagani pia wapo wanaoabudu mizimu n.kKitendo cha serikali kuweka Somo la DIVINITY kwa wakristo wote ni kuwakosea wakristo,>imani zao ni tofauti sana, wapo wanao abudu sanamu, wapo wanao heshimu sanamu, wapo wakristo wnaopinga kuabudu na kuheshimu sanamu. Wapo wanao amini roho mtakatifu na wapo wanaokataa kabisa, wapo wanaosali jumamosi na wanaosali jumapili. Wapo wanao amni utakatifu duniani na wapo wanao amni utakatifu ni mpaka ufe, na uombewe ili uwe mtajkatifu.
Ipo hivi: ‘Divinity’ ni dini, Islam is included in divinity. Sasa unapo singleout kuweka tahasusi yenye Kiislam wakati dini zote zingine unazirundika kwenye divinity inaleta maswali mengi. Lutheran, Anglican, Catholic nk nao wakitaka kuwe na Tahasusi yao, utawapa?In a nutshell, kuweka combination ya Islam wakati kuna divinity it doesn’t make sense.
Islam, Catholic, Lutheran, Bible etc were taught under divinity.Tatizo la watu wetu wanafanya mambo kwa kumfurahisha boss, hawatumii merit kufanya maamuzi na mipango ya nchi. Mbona sioni tahasusi za Catholic, Anglican, Lutheran nk?Watu wamekaa kwenye wizara na vikao wanaona Rais ni Muislam wanaamua kumfurahisha kwa kumpa tasusi za Kiislam. Unfortunately. Sawa na kipindi cha Jiwe hadi wakamjengea mbuga za wanayama na uwanja wa ndege Chato. Futeni hii kitu, sio sahihi na ipo kinyume cha katiba ya nchi.
Tulumlaumu Kapuya na Sarangi lakini huyu wa sasa ndio "rubbish"Kama wameshindwa kusoma elimu Dunia ujinga wao watutolee Tanzania ni Secular Government nadhani hata Hilo pia ni kama ndugu zetu upande wa pili hawakusoma faida zake.. Mambo ya Dini Ni vyema yakatenganishwa na Nchi maana imani tuko nazo nyingi Sana.. na wapagani pia wapo wanaoabudu mizimu n.k
Kitendo cha kuweka Dini Ni kulazimisha watufulani ambao Ni wavivu kusoma wafaulu..
Kama Ni nshu ya nidhamu watume wataalam waende Japan wakaige mbinu za kunyoosha maadili ya watoto wakiwa bado wadogo..