Somo la ki-islamu lazua sintofahamu, Je, Sabato, Katoliki na walokole Imani inafanana?

Nafkiri maana yao ni kwamba hao wa madhehebu wote wako chini ya Kristo (Ukristo) ndomana wamewarundika kwenye utambulisho mmoja tu wa ukristo.
 
Kuwa na somo la Islamic sio tatitizo

TATIZO NI KUIFANYA IKAWA KAMA PART YA COMBINATION

mbona divinity ni soma lakini ni extra tunaomba Islamic nayo iwe extra sio kweny combination la sivyo tunajenga Islamic state na ni mbaya hii
 
Ni mambo ya kipuuzi tupu kwa nchi kukosa muelekeo, masomo ya dini yalikuwepo na tulisoma kama masomo ya ziada tu..... taasusi ili nini?
 
Hao mambwa walioleta hii vurugu ni maiti kabisa, kipimo cha huyu mwanamke ni mambo kama haya ameweka akili matope kwenye wizara ya tamisemi, najiuliza hivi Mkenda amebariki utumbo huu au waislam wameuteka serikali yote?
Maswali yako magumu hayawezi kujibiwa sana sana anaweza tumwa mtu akasema "tulikuwa tunatania tu"
 
Kama wameshindwa kusoma elimu Dunia ujinga wao watutolee Tanzania ni Secular Government nadhani hata Hilo pia ni kama ndugu zetu upande wa pili hawakusoma faida zake.. Mambo ya Dini Ni vyema yakatenganishwa na Nchi maana imani tuko nazo nyingi Sana.. na wapagani pia wapo wanaoabudu mizimu n.k

Kitendo cha kuweka Dini Ni kulazimisha watufulani ambao Ni wavivu kusoma wafaulu..

Kama Ni nshu ya nidhamu watume wataalam waende Japan wakaige mbinu za kunyoosha maadili ya watoto wakiwa bado wadogo..
 
Tulumlaumu Kapuya na Sarangi lakini huyu wa sasa ndio "rubbish"
 
Kati ya vitu vya kijinga ni hili la dini mashuleni wakati wanasema selikari Haina dini Yani tunawaandaa watoto watatue matatizo Yao kwakufumba macho nakuomba afu tunakuja kusema watoto hawajui hesabu atahangaika kuumiza kichwa wakati ametoka kuambiwa kunakufumba macho tu mambo yanaenda?
 
Safi sana, hiyo ni nzuri sana

Tunataka masomo ya kutuunganisha na sii kututenganisha.

Tena ingefaa masomo yote ya dini yawekwe kwenye somo moja tu mfano FALSAFA YA DINI na anayesoma humo asome vyoote, historia, mapokeo na vitabu vitakatifu vya dini zote. Quran, bible na veda included. Hii ndiyo elimu na sio indoctrination
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…