Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja wafanye hivyo....Pia huongeza joto na kupunguza maji ukeni, kwa nyongeza zaidi hata tangawizi hupunguza cholestro na kuongeza joto mwilini , wanawake wenzangu mnao ambiwa mmekuwa wa baridi mara mna bwawa tumie kwa faida yenu na ndoa zenu
Asante mkuu, matumizi yake yakoje?Pia huongeza joto na kupunguza maji ukeni, kwa nyongeza zaidi hata tangawizi hupunguza cholestro na kuongeza joto mwilini , wanawake wenzangu mnao ambiwa mmekuwa wa baridi mara mna bwawa tumie kwa faida yenu na ndoa zenu
CC: Samawia
Antony Abel
Derick Edwin
mirajin
Mniwie radhi kwa kuchelewa kuwatag.. Naamini mtanielewa... Asanteni sana
Heshima yako mkuu mshana! Nimesoma mada yako hii kuhusu kitunguu saumu ila nina maswali naomba unisaidie, kuna mzee mmoja marehemu kwa sasa anaitwa dr. Sebi huenda ukawa ulishamfuatilia ambaye aliweza kusema anauwezo wa kutibu magonjwa yote kulingana na kuamini kuwa chanzo cha magonjwa yote ni mucus ila kuna vitu ambavyo kavizuia mojawapo ni kitunguu saumu, aloe vera, beans, fish na asali sasa nini maoni yako?![]()
Kwanza nipende kumshukuru sana Lavan Island yeye ndio chachu ya mada hii...nilikuwa sina ufahamu wa kutosha kuhusu kitunguu saumu japo nilikuwa najua kuwa ni kinga nzuri kwa mtoto anayetaka usiku na kulialia, lakini kumbe kitunguu saumu ni kinga hatari kwa mambo ya kishirikina na viumbe roho wabaya
![]()
Kitunguu saumu kwa jina la kitaalam Allium sativum sio kiboko ya wachawi tu bali pia ni kinga ya magonjwa mengi na hata wadudu waharibifu.
Hiki kiungo kimacholeta Ladha kwenye vyakula vingi kilianza kutumika zamani sana kwenye nchi nyingi duniani
Wamisri waliamini katika majini yanayonyonya damu watoto wakitumia kichane cha vitunguu saumu kuwa kinga watoto wao..sehemu za China Malaysia nk wazazi hutumia kuwapaka watoto kitunguu saumu kwenye paji la uso kama kinga ya nguvu za giza.
Kule Romania wao husaga na kupakaza kwenye milango na madirisha ya nyumba zao , mageti na hata kwenye pembe za ng'ombe wakiamini nguvu ya kitunguu saumu kwenye Kufukuza wachawi na viumbe roho wabaya.
Lakini pia ili kumlinda marehemu aliyekuwa na dalili za kugeuka jini au kuzuia asichukuliwe kishirikina walimlisha/walimwekea vipande kadhaa vya kitunguu saumu mdomoni...na hii pia ni kinga hata ya kuzuia roho yake isiweze kurudi mwilini
Huo ulikuwa ni upande wa giza lakini unapokuja kwenye afya ya kawaida ya mwili kitunguu saumu huongeza kinga mwilini, huku kikipunguza cholesterol kwa kiwango kikubwa mno huku kikisaidia kutanua mishipa ilisinyaa, zaidi hii kitu ni kinga bora sana ya cancer na hata mgonjwa mwenye dalili za cancer . BP kisukari nk nk...ukiweza kabla ya kulala tafuna kipande kimoja cha kitunguu saumu kile kisicho na harufu kali
Maajabu ya kitunguu saumu ni kwamba inakuwaje kitu kidogo namna hii kinakuwa na nguvu ya ajabu hata kuwa kinga kwenye nguvu nyingi za giza? Kimoja kinachosemwa saana ni ile harufu yake . . . majini mashetani na hata wachawi na washirikina wakiwemo wanga wana mzio mkali na harufu ya kitunguu saumu na vitu vichachu..hii ndio sababu pekee iliyoweza kutolewa mpaka sasa.
Lakini pia maajabu mengine ni ile nguvu ya Kufukuza hata wadudu waharibifu majumbani na mashambani kiasi cha kuvutia watengeneza madawa ya wadudu kukitumi.
Kuna watu baadhi si wachawi wala si washirikina lakini hupenda kutumia mchanganyiko wa Biblia takatifu kitunguu saumu na mafuta ya mzeituni kuwasaidia watu wenye magonjwa ya ajabu yanayohusishwa na nguvu za giza kwahiyo jamani pamoja na kuwa kiungo kimacholeta Ladha kwenye vyakula vingi lakini pia ni kinga ya magonjwa mengi na hata nguvu za giza
![]()
Inategemea na imani yake pengine ni msabato kwakuwa vyote alivyokataza vinatibu mambo mengiHeshima yako mkuu mshana! Nimesoma mada yako hii kuhusu kitunguu saumu ila nina maswali naomba unisaidie, kuna mzee mmoja marehemu kwa sasa anaitwa dr. Sebi huenda ukawa ulishamfuatilia ambaye aliweza kusema anauwezo wa kutibu magonjwa yote kulingana na kuamini kuwa chanzo cha magonjwa yote ni mucus ila kuna vitu ambavyo kavizuia mojawapo ni kitunguu saumu, aloe vera, beans, fish na asali sasa nini maoni yako?
na mama yangu anaumwa kama huyo kaka nini dawa yakeNitute pm
naweza kukitumia kivp ili niboost natural powersYeah inaweza kukutokea
asant mkuu naomba nisaidie napenda kufaham vtu vnavyoboost natural powers ,na vyakula kama vipoHapana
Epuka nyama hasa nyekunduasant mkuu naomba nisaidie napenda kufaham vtu vnavyoboost natural powers ,na vyakula kama vipo
Asante mkuu, ila kidonda ni kikubwa sana unaweza kunielekeza na tiba nyingine mbadala kwasababu hostptal zote nimemaliza bila mafanikio yoyote.Kitwange kisha paka eneo husika
Jr[emoji769]