Somo la kitunguu saumu: Nguvu yake, tiba na maajabu

Pia huongeza joto na kupunguza maji ukeni, kwa nyongeza zaidi hata tangawizi hupunguza cholestro na kuongeza joto mwilini , wanawake wenzangu mnao ambiwa mmekuwa wa baridi mara mna bwawa tumie kwa faida yenu na ndoa zenu
 
Ngoja wafanye hivyo....
 
Pia huongeza joto na kupunguza maji ukeni, kwa nyongeza zaidi hata tangawizi hupunguza cholestro na kuongeza joto mwilini , wanawake wenzangu mnao ambiwa mmekuwa wa baridi mara mna bwawa tumie kwa faida yenu na ndoa zenu
Asante mkuu, matumizi yake yakoje?
 
Heshima yako mkuu mshana! Nimesoma mada yako hii kuhusu kitunguu saumu ila nina maswali naomba unisaidie, kuna mzee mmoja marehemu kwa sasa anaitwa dr. Sebi huenda ukawa ulishamfuatilia ambaye aliweza kusema anauwezo wa kutibu magonjwa yote kulingana na kuamini kuwa chanzo cha magonjwa yote ni mucus ila kuna vitu ambavyo kavizuia mojawapo ni kitunguu saumu, aloe vera, beans, fish na asali sasa nini maoni yako?
 
Inategemea na imani yake pengine ni msabato kwakuwa vyote alivyokataza vinatibu mambo mengi
 
asant mkuu naomba nisaidie napenda kufaham vtu vnavyoboost natural powers ,na vyakula kama vipo
Epuka nyama hasa nyekundu
Epuka vyakula vya kukaanga na madikodiko
Epuka vyakula vya viwandani
Pendelea vyakula fresh
Pendelea vyakula vya asili
Pendelea vyakula vya kuchemsha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…