Somo la kitunguu saumu: Nguvu yake, tiba na maajabu

Ongeza mafuta halisi ya nazi katika mchanganyiko huu na upake ili kutibu BAWASILI#
 
Nimemenya vitunguu swaumu punje 5 nikazikatakata vipande alafu nikameza vyote Kwa pamoja Kwa Maji Ya moto....Yani nimeshinda Vibaya siku mzima mwili umeishiwa nguvu kichwa kimekua Kizito.....shida itakua Ni Nini wakuu
 
Umekula vingi sana ... Kitunguu saumu kilivyo kilali hukupaswa kula vyote hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimepita Sokoni nimekuta wanauza UNGA wa kitunguu swaum nikanunua anataka nikachange na maji ya moto ninywe kama chai
Je nitapata faida sawa n anaayetafuna kitunguu Swaumu
 
@[mention]Mshama jr [/mention] hivi kama unatumiA dawa za hospital unaweza kula hicho kitunguu na kisilete madhara
 
Mshana Jr Nikuulize ndugu yngu..Kuna Bibi mmoja alikuwa Hali mboga yenye vitunguu swaumu yaan ht ukithubutu kuweka Kwa Siri anajua na Hali..
Na linguine Nikaona Mama mkwe wa mdg Wang nae hatak kusikia Kitunguu swaumu na ukiweka Hali..Shida ni nn
 
Kuna mzio
Kuna kutopenda kitu
Kuna mengineyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…