Somo la uchumi (Economics) linapaswa kufundishwa kuanzia kidato cha kwanza kwa wanafunzi wa mchepuo wa biashara (Bookkeeping/Commerce)

Somo la uchumi (Economics) linapaswa kufundishwa kuanzia kidato cha kwanza kwa wanafunzi wa mchepuo wa biashara (Bookkeeping/Commerce)

Sasa economics na geography wapi na wapi (EGM)? Economics na History vp tena hapa (HGE)?
Kwani Physics na Chemistry (PCM) zina uhusiano gn? Lkn kwa jinsi unavyoangalia wewe kijuujuu utaona km hayana uhusiano ila uhusiano upo tena mkubwa tu, mfano Economics na Geography zina uhusiano mkubwa cz huwezi kuwa mchumi alafu huijui Land(ardhi) ambayo ndiyo msingi wa uchumi na ndiyo Geography yenyewe.
 
Sasa economics na geography wapi na wapi (EGM)? Economics na History vp tena hapa (HGE)?
Alafu mkuu Economics sio tu biashara mana naona unataka kurasmisha ECA ndiyo peke yao wasome Economics, bali Economics ni arts, science and business kama alivyotangulia kusema mdau mmoja juu [emoji3][emoji3]
 
Haya ndio mambo ya kukaririshana ambayo mimi huwa ninayapiga sana vita. Elimu ya Afrika hii ni changamoto sana.
Elimu ni ile ile mkuu haijawahi kubadilika kamwe, kinachotofautisha quality ni vitendea kazi tu, wenzetu wako practictically oriented sana tofauti na sisi huku lakini wanachosoma Ulaya na Africa material ni yale yale tu.
 
Sasa economics na geography wapi na wapi (EGM)? Economics na History vp tena hapa (HGE)?
Wew jamaa nakuelekeza kwa mara ya mwisho usipoelewa basi

Mimi nmesoma uchumi.kuna concept ina semaga economics is a multskills subject.inaweza ikawa science, arts and bussines subject

Kwa o level uchumi utausoma kwenye HESABU AMBAYO NI SCIENCE basic knowledge yake ni statistics,probability ,linear kwa waliosoma uchumi kwa level ya chuo watakuwa wamenielewa

Kwenye history ambayo ni ARTS .utasoma zile modes of production mfano capitalism, socialism and feudalism tena kwenye history ndo kuna story nyingi sana kuhusu uchumi shida watoto wengi hawazingatii either walimu wenywe sio wazuri au madogo hawajiongezi,zile story za rise of USA as economic great power zote ni concept za kiuchumi

Kwa upande wa SCIENCE.uchumi una theories kama vile theory of money.kinked demand theory,theory of employment kama physics ilivo na archmedes principle na pia kuna graph .ujibuji wa uchumi unaenda na ma graph kwa sana.ndomana kukuta A ya uchumi ni nadra sana.sababu unapojibu economics lazma uweke fact za ki graph ambayo pia ni tabia ya science subjects.kwa waliosoma eco advance watakuwa wamenielewa vzuri

Kwa BIASHARA utasoma kupitia commerce.ishu za demand and supply;production ete

Kwa kifupi masomo unayo soma o level mengi yana vitabia vya uchumi.hvyo ukisoma o level masomo mengine tayr automatical unakuwa na basic knowledge ya uchumi either kwa kujua au kutokujuwa.
NB
Economics is a "multskills subject " haliwez kufundishwa o level wala diploma
 
Wew jamaa nakuelekeza kwa mara ya mwisho usipoelewa basi

Mimi nmesoma uchumi.kuna concept ina semaga economics is a multskills subject.inaweza ikawa science, arts and bussines subject

Kwa o level uchumi utausoma kwenye hesabu, basic knowledge yake ni statistics,probability ,linear kwa waliosoma uchumi kwa level ya chuo watakuwa wamenielewa

Kwenye history ambayo ni arts.utasoma zile modes of production mfano capitalism, socialism

Kwa upande wa science.uchumi una theories kama vile theory of money.kinked demand theory,theory of employment kama physics ilivo na archmedes principle

Kwa biashara utasoma kupitia commerce.ishu za demand and supply;production ete

Kwa kifupi masomo unayo soma o level mengi ya vitabia vya uchumi.hvyo ukisoma o level masomo mengine tayr automatical unakuwa na basic knowledge ya uchumi either kwa kujua au kutokujuwa.
NB
Economics is a "multskills subject " haliwez kufundishwa o level wala diploma
Alikuwa hajui ila amejua.
 
Biology unaijua lkn? Hii hii economics ambayo watu wanasoma wakimaliza wanataka kuajiriwa serikalini au sekta binafsi?
Biology ni somo muhimu sana na halitakiwi kupuuzwa.
Tunamuondolea biology kisha tunampa economics kwa maana masuala ya msingi ya afya aliyasoma shule ya msingi, tena kwa Kiswahili lugha mama akayaelewa vizuri mkuu.
 
Hayo uliyoyataja kwenye mabano ni masomo ya biashara sio uchumi,, economics ni somo tofauti na hayo na dhana yake ni management nzuri ya rasilimali za umma sio individual weath kama hayo
 
Ndani ya somo la commerece hakuna chochote kinachohusiana na Economics mkuu. Kwa hiyo unataka kusema ndani ya physics kuna chemistry kwa sababu wanafunzi wanafanya litmus test?

Kama ndani ya commerce kuna economics kwanini combination isiwe Commerce na Accountancy peke yake?
Uchumi katu hauhusiani na hayo masomo hapo juu.

Uchumi ni kozi inayohusu usimamizi na mgawanyo sahihi wa rasilimali zote za nchi Ili ziwe na tija sasa na baadae.Kiufupi ni somo lenye kuratibu sekta zote kwa njia ya miongozo ya kisera.

Mfano linakuguide kuzalisha madaktari au wahandisi nk kulingana na mahitaji.

Serikali ingezingatia ushauri wa kiuchumi hakuna mtu angenunua mandege au kujenga ma sgr kuelekea sehemu ambayo hata haina mizigo sanjali na mamiradi mengine ya kipuuzi yanayofanywa sasa ndio maana mengi ni tembo mweupe
 
Kwani Demand Schedule ya form one ya Commerce na ile ya kwenye Economics zipo tofauti!?
Tofauti kwa perspective kabisa, halafu economics ingefundishwa kama somo la lazima badala ya historia kusingekuwa na miradi useless mingi nchi hii maana kanuni za opportunity cost, rational decisions nk zingeguide maamuzi badala ya imani na hisia.

Economics ina hadi topics za kuguide hisia binafsi yaani Behavioral Economics
 
Uchumi ndiyo linafundishwa tangia kidato cha kwanza kupitia commerce yn mwanafunzi aliyesoma commerce tayari anakuwa na idea ya Economics, kwa cc tuliosoma Economics advance tunajua shida tulikutana nayo toka kwa wanafunzi wa ECA.
Masomo ya commerce,bookeeping na Accounting ni masomo ya hiari kwa wanafunzi,mimi sikusoma hayo masomo ila nilisoma Uchumi advance.

Masomo muhimu ya kuendana na uchumi ni Mathematics na Accounting. University watu wa economics wanapata shida sana na kozi ya accounting hususani first year na kama ulikuwa na background mbovu ya hesabu ndio kabisaa unaweza chemka second year kwa sababu karibu kozi zote zinahusisha Mathematics zaidi.

Hii combination ya HGE ni useless, bora utoke combination za sayansi au za biashara kuja kusoma Economics lakini sio hiyo
 
Mkuu umemjibu vzuri sana.kule juu mimi pia nilimpa hints kama zako.kama hatak kuelewa basi.kuna uhusiano mkubwa tu kati ya commerce na economics kwenye basic knowledge.
Hvo basi mtoto wa o level badala ya lusoma uchumi.anapata hints kupitia commerce ya form one na hadi form four.

Mwisho wa siku sisi wachumi tunasema economics.ni science,arts and bussines study kwa anesoma EGM ni science, kwa anaependa arts ni HGE na kwa anaesoma biashara ni ECA.

Na ndo maana pakawa na pendekezo kuanzishwe kwa combonation inaitwa PGE ili mwanafuzi mwenye kupenda physics pia asome economics,sababu ina tabia za science.hilo somo sisi tunaita ni mult skills subject

Swali kwako unaebisha.mtoto akisoma economics o level uta iterm kama somo gani arts,biashara au science????
Hiyo HGE ni upuuzi , halafu usidhani kuitwa the art of basi inahusiana na hiyo combination hapo.

Nashauri hiyo combination ifutwe zibakie EGM, ECA na combination zingine za Sayansi
 
Wew jamaa nakuelekeza kwa mara ya mwisho usipoelewa basi

Mimi nmesoma uchumi.kuna concept ina semaga economics is a multskills subject.inaweza ikawa science, arts and bussines subject

Kwa o level uchumi utausoma kwenye HESABU AMBAYO NI SCIENCE basic knowledge yake ni statistics,probability ,linear kwa waliosoma uchumi kwa level ya chuo watakuwa wamenielewa

Kwenye history ambayo ni ARTS .utasoma zile modes of production mfano capitalism, socialism and feudalism tena kwenye history ndo kuna story nyingi sana kuhusu uchumi shida watoto wengi hawazingatii either walimu wenywe sio wazuri au madogo hawajiongezi,zile story za rise of USA as economic great power zote ni concept za kiuchumi

Kwa upande wa SCIENCE.uchumi una theories kama vile theory of money.kinked demand theory,theory of employment kama physics ilivo na archmedes principle na pia kuna graph .ujibuji wa uchumi unaenda na ma graph kwa sana.ndomana kukuta A ya uchumi ni nadra sana.sababu unapojibu economics lazma uweke fact za ki graph ambayo pia ni tabia ya science subjects.kwa waliosoma eco advance watakuwa wamenielewa vzuri

Kwa BIASHARA utasoma kupitia commerce.ishu za demand and supply;production ete

Kwa kifupi masomo unayo soma o level mengi yana vitabia vya uchumi.hvyo ukisoma o level masomo mengine tayr automatical unakuwa na basic knowledge ya uchumi either kwa kujua au kutokujuwa.
NB
Economics is a "multskills subject " haliwez kufundishwa o level wala diploma
Lakini masomo ya Olevel yamelalia kwenye biashara tena at micro perspective yaani micro economics.

Technically Economics ipo kwa ajili ya ku regulate uchumi at Macro level, hizo zingine ni kwa level ya individual companies, corporates nk kwa mantiki hiyo hayo masomo yana suit kwenye kozi za biashara directly so sio sahihi mtu amesomea accounting au businesses admnistratio au Finance kuitwa mchumi
 
Hata mimi nakubaliana na mtoa mada ni afadhari somo la uchumi per say sio hayo yenye mlengo wa biashara liwe somo la lazima Ili kuwasidia watu wanapokuwa viongozi kufanya maamuzi sahihi ya matumizi ya rasilimali badala ya kuamua ki layman afu mwisho wa siku kila kitu kinaishia kuharibika na kupoteza rasilimali za watu.

Somo la Uchumi lime address vizuri dhana ya serikali kutoa huduma na kutoa miongozo inayojaribu kudhibiti matumizi ya hisia binafsi au matumizi mabaya ya rasilimali.kozi za welfare economics, choices and public finance, inequality, poverty and Discrimination nk nk.

Unashangaa hadi leo hii serikali haijui ifanyaje Ili kukabiliana na umaskini yaani imesalia kufanya mambo ya bora liende utadhani haina watu waliosomea Uchumi kushauri sera rafiki kulingana na mazingira.
 
Wewe jamaa nimekuja kuelewa jambo moja katika mada unazoanzisha humu. Unakuwa unaanzisha jambo halafu unakuwa na majibu yako mwenyewe ambayo unataka kila anaechangia ayaandike ili ukubaliane nayo.

Iko hivi, Commerce kwa o level ni msingi wa kuja kuisoma Economics A level na chuo. Book keeping ni msingi wa kwa O Level kuja kuisoma Accounts A Level na chuo. Havitofautishiki wala havitakaa kupingana hata siku moja.

nb. Msingi mkuu wa Commerce baadae Economics ni Demand and Supply na msingi mkuu wa Book keeping ni Debt and Credit. Hata sisi tunajua braza
 
Wewe jamaa nimekuja kuelewa jambo moja katika mada unazoanzisha humu. Unakuwa unaanzisha jambo halafu unakuwa na majibu yako mwenyewe ambayo unataka kila anaechangia ayaandike ili ukubaliane nayo.
Mkuu, kama mada zangu zinakukera achana nazo, fanya mengine.

Kwa hiyo wewe unategemea CUF ipeleke hoja bungeni alafu ikubaliane na CCM? Number 6 na 9 zinafanana inategemea na wewe umekaa upande upi.
 
nb. Msingi mkuu wa Commerce baadae Economics ni Demand and Supply na msingi mkuu wa Book keeping ni Debt and Credit. Hata sisi tunajua braza
Economics na Commerce yangekuwa masomo pacha basi yasingefundishwa kwa pamoja kwa wanafunzi wa ECA.
 
Kwa o level uchumi utausoma kwenye HESABU AMBAYO NI SCIENCE basic knowledge yake ni statistics,probability ,linear kwa waliosoma uchumi kwa level ya chuo watakuwa wamenielewa

Kwenye history ambayo ni ARTS .utasoma zile modes of production mfano capitalism, socialism and feudalism tena kwenye history ndo kuna story nyingi sana kuhusu uchumi shida watoto wengi hawazingatii either walimu wenywe sio wazuri au madogo hawajiongezi,zile story za rise of USA as economic great power zote ni concept za kiuchumi

Kwa upande wa SCIENCE.uchumi una theories kama vile theory of money.kinked demand theory,theory of employment kama physics ilivo na archmedes principle na pia kuna graph .ujibuji wa uchumi unaenda na ma graph kwa sana.ndomana kukuta A ya uchumi ni nadra sana.sababu unapojibu economics lazma uweke fact za ki graph ambayo pia ni tabia ya science subjects.kwa waliosoma eco advance watakuwa wamenielewa vzuri
Mkuu, wewe unafaa kuwa wanasiasa na sio mtaalam wa uchumi. Yaani unasema uchumi upo ndani ya history ilimradi uhalalishe combination ya HGE? Sasa unakuja pia na kusema uchumi upo ndani ya sayansi kama vile physics kwa sababu ya mambo sijui ya ghraph. Sasa mbona hakuna combination ya physics na uchumi (PE)?

Najua ulitaka kuanza kwa kusema tena economics ipo mpaka ndani ya biology. Jipange upya mzee baba.
 
Kwa kifupi masomo unayo soma o level mengi yana vitabia vya uchumi.hvyo ukisoma o level masomo mengine tayr automatical unakuwa na basic knowledge ya uchumi either kwa kujua au kutokujuwa.
Hahahahahaaa, sasa mkuu kama unapata knowledge kwa kutokujua inakusaidia vp huko A level? Unazingua sana mwamba.
 
Back
Top Bottom