Wew jamaa nakuelekeza kwa mara ya mwisho usipoelewa basi
Mimi nmesoma uchumi.kuna concept ina semaga economics is a multskills subject.inaweza ikawa science, arts and bussines subject
Kwa o level uchumi utausoma kwenye HESABU AMBAYO NI SCIENCE basic knowledge yake ni statistics,probability ,linear kwa waliosoma uchumi kwa level ya chuo watakuwa wamenielewa
Kwenye history ambayo ni ARTS .utasoma zile modes of production mfano capitalism, socialism and feudalism tena kwenye history ndo kuna story nyingi sana kuhusu uchumi shida watoto wengi hawazingatii either walimu wenywe sio wazuri au madogo hawajiongezi,zile story za rise of USA as economic great power zote ni concept za kiuchumi
Kwa upande wa SCIENCE.uchumi una theories kama vile theory of money.kinked demand theory,theory of employment kama physics ilivo na archmedes principle na pia kuna graph .ujibuji wa uchumi unaenda na ma graph kwa sana.ndomana kukuta A ya uchumi ni nadra sana.sababu unapojibu economics lazma uweke fact za ki graph ambayo pia ni tabia ya science subjects.kwa waliosoma eco advance watakuwa wamenielewa vzuri
Kwa BIASHARA utasoma kupitia commerce.ishu za demand and supply;production ete
Kwa kifupi masomo unayo soma o level mengi yana vitabia vya uchumi.hvyo ukisoma o level masomo mengine tayr automatical unakuwa na basic knowledge ya uchumi either kwa kujua au kutokujuwa.
NB
Economics is a "multskills subject " haliwez kufundishwa o level wala diploma