The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 41,015
- 93,277
Kwani Physics na Chemistry (PCM) zina uhusiano gn? Lkn kwa jinsi unavyoangalia wewe kijuujuu utaona km hayana uhusiano ila uhusiano upo tena mkubwa tu, mfano Economics na Geography zina uhusiano mkubwa cz huwezi kuwa mchumi alafu huijui Land(ardhi) ambayo ndiyo msingi wa uchumi na ndiyo Geography yenyewe.Sasa economics na geography wapi na wapi (EGM)? Economics na History vp tena hapa (HGE)?
Leta hoja wewHaya ndio mambo ya kukaririshana ambayo mimi huwa ninayapiga sana vita. Elimu ya Afrika hii ni changamoto sana.
Alafu mkuu Economics sio tu biashara mana naona unataka kurasmisha ECA ndiyo peke yao wasome Economics, bali Economics ni arts, science and business kama alivyotangulia kusema mdau mmoja juu [emoji3][emoji3]Sasa economics na geography wapi na wapi (EGM)? Economics na History vp tena hapa (HGE)?
Elimu ni ile ile mkuu haijawahi kubadilika kamwe, kinachotofautisha quality ni vitendea kazi tu, wenzetu wako practictically oriented sana tofauti na sisi huku lakini wanachosoma Ulaya na Africa material ni yale yale tu.Haya ndio mambo ya kukaririshana ambayo mimi huwa ninayapiga sana vita. Elimu ya Afrika hii ni changamoto sana.
Wew jamaa nakuelekeza kwa mara ya mwisho usipoelewa basiSasa economics na geography wapi na wapi (EGM)? Economics na History vp tena hapa (HGE)?
Alikuwa hajui ila amejua.Wew jamaa nakuelekeza kwa mara ya mwisho usipoelewa basi
Mimi nmesoma uchumi.kuna concept ina semaga economics is a multskills subject.inaweza ikawa science, arts and bussines subject
Kwa o level uchumi utausoma kwenye hesabu, basic knowledge yake ni statistics,probability ,linear kwa waliosoma uchumi kwa level ya chuo watakuwa wamenielewa
Kwenye history ambayo ni arts.utasoma zile modes of production mfano capitalism, socialism
Kwa upande wa science.uchumi una theories kama vile theory of money.kinked demand theory,theory of employment kama physics ilivo na archmedes principle
Kwa biashara utasoma kupitia commerce.ishu za demand and supply;production ete
Kwa kifupi masomo unayo soma o level mengi ya vitabia vya uchumi.hvyo ukisoma o level masomo mengine tayr automatical unakuwa na basic knowledge ya uchumi either kwa kujua au kutokujuwa.
NB
Economics is a "multskills subject " haliwez kufundishwa o level wala diploma
Tunamuondolea biology kisha tunampa economics kwa maana masuala ya msingi ya afya aliyasoma shule ya msingi, tena kwa Kiswahili lugha mama akayaelewa vizuri mkuu.
mimi naongelea kufundishwa kama masomo mengine[emoji116][emoji116]View attachment 1792239
Uchumi katu hauhusiani na hayo masomo hapo juu.Ndani ya somo la commerece hakuna chochote kinachohusiana na Economics mkuu. Kwa hiyo unataka kusema ndani ya physics kuna chemistry kwa sababu wanafunzi wanafanya litmus test?
Kama ndani ya commerce kuna economics kwanini combination isiwe Commerce na Accountancy peke yake?
Tofauti kwa perspective kabisa, halafu economics ingefundishwa kama somo la lazima badala ya historia kusingekuwa na miradi useless mingi nchi hii maana kanuni za opportunity cost, rational decisions nk zingeguide maamuzi badala ya imani na hisia.Kwani Demand Schedule ya form one ya Commerce na ile ya kwenye Economics zipo tofauti!?
Masomo ya commerce,bookeeping na Accounting ni masomo ya hiari kwa wanafunzi,mimi sikusoma hayo masomo ila nilisoma Uchumi advance.Uchumi ndiyo linafundishwa tangia kidato cha kwanza kupitia commerce yn mwanafunzi aliyesoma commerce tayari anakuwa na idea ya Economics, kwa cc tuliosoma Economics advance tunajua shida tulikutana nayo toka kwa wanafunzi wa ECA.
Hiyo HGE ni upuuzi , halafu usidhani kuitwa the art of basi inahusiana na hiyo combination hapo.Mkuu umemjibu vzuri sana.kule juu mimi pia nilimpa hints kama zako.kama hatak kuelewa basi.kuna uhusiano mkubwa tu kati ya commerce na economics kwenye basic knowledge.
Hvo basi mtoto wa o level badala ya lusoma uchumi.anapata hints kupitia commerce ya form one na hadi form four.
Mwisho wa siku sisi wachumi tunasema economics.ni science,arts and bussines study kwa anesoma EGM ni science, kwa anaependa arts ni HGE na kwa anaesoma biashara ni ECA.
Na ndo maana pakawa na pendekezo kuanzishwe kwa combonation inaitwa PGE ili mwanafuzi mwenye kupenda physics pia asome economics,sababu ina tabia za science.hilo somo sisi tunaita ni mult skills subject
Swali kwako unaebisha.mtoto akisoma economics o level uta iterm kama somo gani arts,biashara au science????
Lakini masomo ya Olevel yamelalia kwenye biashara tena at micro perspective yaani micro economics.Wew jamaa nakuelekeza kwa mara ya mwisho usipoelewa basi
Mimi nmesoma uchumi.kuna concept ina semaga economics is a multskills subject.inaweza ikawa science, arts and bussines subject
Kwa o level uchumi utausoma kwenye HESABU AMBAYO NI SCIENCE basic knowledge yake ni statistics,probability ,linear kwa waliosoma uchumi kwa level ya chuo watakuwa wamenielewa
Kwenye history ambayo ni ARTS .utasoma zile modes of production mfano capitalism, socialism and feudalism tena kwenye history ndo kuna story nyingi sana kuhusu uchumi shida watoto wengi hawazingatii either walimu wenywe sio wazuri au madogo hawajiongezi,zile story za rise of USA as economic great power zote ni concept za kiuchumi
Kwa upande wa SCIENCE.uchumi una theories kama vile theory of money.kinked demand theory,theory of employment kama physics ilivo na archmedes principle na pia kuna graph .ujibuji wa uchumi unaenda na ma graph kwa sana.ndomana kukuta A ya uchumi ni nadra sana.sababu unapojibu economics lazma uweke fact za ki graph ambayo pia ni tabia ya science subjects.kwa waliosoma eco advance watakuwa wamenielewa vzuri
Kwa BIASHARA utasoma kupitia commerce.ishu za demand and supply;production ete
Kwa kifupi masomo unayo soma o level mengi yana vitabia vya uchumi.hvyo ukisoma o level masomo mengine tayr automatical unakuwa na basic knowledge ya uchumi either kwa kujua au kutokujuwa.
NB
Economics is a "multskills subject " haliwez kufundishwa o level wala diploma
Mkuu, kama mada zangu zinakukera achana nazo, fanya mengine.Wewe jamaa nimekuja kuelewa jambo moja katika mada unazoanzisha humu. Unakuwa unaanzisha jambo halafu unakuwa na majibu yako mwenyewe ambayo unataka kila anaechangia ayaandike ili ukubaliane nayo.
Economics na Commerce yangekuwa masomo pacha basi yasingefundishwa kwa pamoja kwa wanafunzi wa ECA.nb. Msingi mkuu wa Commerce baadae Economics ni Demand and Supply na msingi mkuu wa Book keeping ni Debt and Credit. Hata sisi tunajua braza
Mkuu, wewe unafaa kuwa wanasiasa na sio mtaalam wa uchumi. Yaani unasema uchumi upo ndani ya history ilimradi uhalalishe combination ya HGE? Sasa unakuja pia na kusema uchumi upo ndani ya sayansi kama vile physics kwa sababu ya mambo sijui ya ghraph. Sasa mbona hakuna combination ya physics na uchumi (PE)?Kwa o level uchumi utausoma kwenye HESABU AMBAYO NI SCIENCE basic knowledge yake ni statistics,probability ,linear kwa waliosoma uchumi kwa level ya chuo watakuwa wamenielewa
Kwenye history ambayo ni ARTS .utasoma zile modes of production mfano capitalism, socialism and feudalism tena kwenye history ndo kuna story nyingi sana kuhusu uchumi shida watoto wengi hawazingatii either walimu wenywe sio wazuri au madogo hawajiongezi,zile story za rise of USA as economic great power zote ni concept za kiuchumi
Kwa upande wa SCIENCE.uchumi una theories kama vile theory of money.kinked demand theory,theory of employment kama physics ilivo na archmedes principle na pia kuna graph .ujibuji wa uchumi unaenda na ma graph kwa sana.ndomana kukuta A ya uchumi ni nadra sana.sababu unapojibu economics lazma uweke fact za ki graph ambayo pia ni tabia ya science subjects.kwa waliosoma eco advance watakuwa wamenielewa vzuri
Hahahahahaaa, sasa mkuu kama unapata knowledge kwa kutokujua inakusaidia vp huko A level? Unazingua sana mwamba.Kwa kifupi masomo unayo soma o level mengi yana vitabia vya uchumi.hvyo ukisoma o level masomo mengine tayr automatical unakuwa na basic knowledge ya uchumi either kwa kujua au kutokujuwa.