Somo la uchumi (Economics) linapaswa kufundishwa kuanzia kidato cha kwanza kwa wanafunzi wa mchepuo wa biashara (Bookkeeping/Commerce)

Mimi nakujibu techinical sana, tatizo lako wewe haupo katika kujifunza na sina haja ya kubishana na wewe sababu huna facts
 
Hakuna mtu aliesoma finance au bussines administration akaitwa mchumi

Hauwez kuitwa mchumi kama hujasoma module muhimu za uchumi kama econometrics na intermediate macro na micro.huo ndo msingi wa uchumi

Kwa waliosoma uchumi watakuwa wameelewa
 
HGE ndio combination pekee ya arts inayosoma BAM yan Basic apllied mathematics .kwa kifupi tofaut ya EGM na HGE ni mmoja anasoma pure math ambayo ipo deep zaid mwengine anasoma Bam ambayo haiend deep kwenye hesabu lakini ana history ambayo pia ina uhusiano mkubwa na Economics

Kwahyo mtu wa HGE ni sahihi kusoma uchumi kwa level ya degree.

Pia kwenye zile admission requirements kwenye chuo kama Udsm,Mzumbe na Ardhi.wote wana guide lazma uwe na either minimum subsidiary (S) in Bam au uwe na at least C in mathematics o level

Na hao walioweka hvyo sio wajinga wanaelewa. Wenzetu Uganda kuna watu wanasoma History, Geography, Kiswahili na Economics kama sikosei

HGE ni sahihi kabisa kusoma uchumi sababu ana hesabu ambayo ni BAM.na ana kiwa commanded lazma awe ameifaulu either advance au o level
 
Hakuna unalojua kuhusu somo la uchumi vyuoni.......

Huwezi kutoboa 'module' ya mbele kama ya nyuma hukumbuki.

Futa hilo wazo la kusema ukisoma semester hii ukafunika ndio basi tena.
 
2016 wizara ilileta huo mpango wa kuanzishwa kwa PGE. Yaani Physics, Geography na Uchumi, bahati mbaya waliishia wapi sijui, ila mpango huo ulikuwepo. Kuna wadau watakuja kuthibitisha humu
 
Kiufupi nikwambie tu, katika maisha haya tunayoishi kila unachokifanya ni either Commerce/Economics au Book Keeping/Accounts.

Demand and Supply ndivyo vinavyoendesha maisha yako na Credit and Debt ndivyo vinavyoendesha maisha yako.
 
Kama kuna HGE, kwanini hakuna KGE (Kiswahili, Geography na Economics) au ECB (Economics, Chemistry na Biology) alafu wasome na hiyo BAM?
 
Kiufupi nikwambie tu, katika maisha haya tunayoishi kila unachokifanya ni either Commerce/Economics au Book Keeping/Accounts.

Demand and Supply ndivyo vinavyoendesha maisha yako na Credit and Debt ndivyo vinavyoendesha maisha yako.
Vp kuhusu Biology? Kwani katika maisha haya tunayoishi sio kila unachokifanya kina uhusiano na biology? Movement ya mwili, processing information, hizi ni nini? Hakuna somo ambalo halina umuhimu katika maisha lakini je tunawezaje kupata wataalam wabobezi katika tasnia husika?

Katika masomo yote ya A level, ni somo gani ambalo halianzii form one zaidi ya economics?
 
2016 wizara ilileta huo mpango wa kuanzishwa kwa PGE.yani physics, geography na uchumi.bahat mbaya waliishia wapi sijui.ila mpango huo ulikuwepo. Kuna wadsu watakuja kuthibitisha humu
Katika masomo yote ya A level, ni Economics pekee ndio halianzii kidato cha kwanza. Kwanini?
 
Sahihi kabisa mkuu. Watu wanafanya ubishi usio na tija kabisa humu. Sasa sijui ni nani anawalipa ili kutibua mfumo wetu wa elimu.
Hizo basics wanafunzi wanatakiwa kuzipata kwenye level hizo za chini, wakienda juu wanakuwa na idea ya wanachofunzwa. Huko ngazi ya sekondari ndo ubongo unakuwa active kujifunza vitu vipya kwa sababu bado wanakuwa na umri mdogo.
 
Well said bro.
 
Hakuna mtu aliesoma finance au bussines administration akaitwa mchumi

Hauwez kuitwa mchumi kama hujasoma module muhimu za uchumi kama econometrics na intermediate macro na micro.huo ndo msingi wa uchumi

Kwa waliosoma uchumi watakuwa wameelewa
UDSM offers Bachelor of Arts in Economics lakini hiyo sio issue. Muhimu ni kuwa wachumi bora waandaliwe kuanzia kidato cha kwanza au cha tatu na wanaosoma masomo ya biashara waachane na hiyo biology inawapotezea muda tu.
 
Models za uchumi tunaosoma haziapply Tanzania. Ndiyo maana tuna wanauchumi waliokalili models za wenzetu mpaka leo wameshindwa kutukwamua kwenye umasikini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…