Somo la uchumi (Economics) linapaswa kufundishwa kuanzia kidato cha kwanza kwa wanafunzi wa mchepuo wa biashara (Bookkeeping/Commerce)

Somo la uchumi (Economics) linapaswa kufundishwa kuanzia kidato cha kwanza kwa wanafunzi wa mchepuo wa biashara (Bookkeeping/Commerce)

Mkuu, wewe unafaa kuwa wanasiasa na sio mtaalam wa uchumi. Yaani unasema uchumi upo ndani ya history ilimradi uhalalishe combination ya HGE? Sasa unakuja pia na kusema uchumi upo ndani ya sayansi kama vile physics kwa sababu ya mambo sijui ya ghraph. Sasa mbona hakuna combination ya physics na uchumi (PE)?

Najua ulitaka kuanza kwa kusema tena economics ipo mpaka ndani ya biology. Jipange upya mzee baba.
Mimi nakujibu techinical sana, tatizo lako wewe haupo katika kujifunza na sina haja ya kubishana na wewe sababu huna facts
 
Lakini masomo ya Olevel yamelalia kwenye biashara tena at micro perspective yaani micro economics.

Technically Economics ipo kwa ajili ya ku regulate uchumi at Macro level,hizo zingine ni kwa level ya individual companies ,corporates nk kwa mantiki hiyo hayo masomo yana suit kwenye kozi za biashara directly so sio sahihi mtu amesomea accounting au businesses admnistratio au Finance kuitwa mchumi
Hakuna mtu aliesoma finance au bussines administration akaitwa mchumi

Hauwez kuitwa mchumi kama hujasoma module muhimu za uchumi kama econometrics na intermediate macro na micro.huo ndo msingi wa uchumi

Kwa waliosoma uchumi watakuwa wameelewa
 
Masomo ya commerce,bookeeping na Accounting ni masomo ya hiari kwa wanafunzi,mimi sikusoma hayo masomo ila nilisoma Uchumi advance.

Masomo muhimu ya kuendana na uchumi ni Mathematics na Accounting.University watu wa economics wanapata shida sana na kozi ya accounting hususani first year na kama ulikuwa na background mbovu ya hesabu ndio kabisaa unaweza chemka second year kwa sababu karibu kozi zote zinahusisha Mathematics zaidi.

Hii combination ya HGE ni useless,bora utoke combination za sayansi au za biashara kuja kusoma Economics lakini sio hiyo
HGE ndio combination pekee ya arts inayosoma BAM yan Basic apllied mathematics .kwa kifupi tofaut ya EGM na HGE ni mmoja anasoma pure math ambayo ipo deep zaid mwengine anasoma Bam ambayo haiend deep kwenye hesabu lakini ana history ambayo pia ina uhusiano mkubwa na Economics

Kwahyo mtu wa HGE ni sahihi kusoma uchumi kwa level ya degree.

Pia kwenye zile admission requirements kwenye chuo kama Udsm,Mzumbe na Ardhi.wote wana guide lazma uwe na either minimum subsidiary (S) in Bam au uwe na at least C in mathematics o level

Na hao walioweka hvyo sio wajinga wanaelewa. Wenzetu Uganda kuna watu wanasoma History, Geography, Kiswahili na Economics kama sikosei

HGE ni sahihi kabisa kusoma uchumi sababu ana hesabu ambayo ni BAM.na ana kiwa commanded lazma awe ameifaulu either advance au o level
 
Hakuna unalojua kuhusu somo la uchumi vyuoni.......

Huwezi kutoboa 'module' ya mbele kama ya nyuma hukumbuki.

Futa hilo wazo la kusema ukisoma semester hii ukafunika ndio basi tena.
 
Mkuu, wewe unafaa kuwa wanasiasa na sio mtaalam wa uchumi. Yaani unasema uchumi upo ndani ya history ilimradi uhalalishe combination ya HGE? Sasa unakuja pia na kusema uchumi upo ndani ya sayansi kama vile physics kwa sababu ya mambo sijui ya ghraph. Sasa mbona hakuna combination ya physics na uchumi (PE)?

Najua ulitaka kuanza kwa kusema tena economics ipo mpaka ndani ya biology. Jipange upya mzee baba.
2016 wizara ilileta huo mpango wa kuanzishwa kwa PGE. Yaani Physics, Geography na Uchumi, bahati mbaya waliishia wapi sijui, ila mpango huo ulikuwepo. Kuna wadau watakuja kuthibitisha humu
 
Mkuu, wewe unafaa kuwa wanasiasa na sio mtaalam wa uchumi. Yaani unasema uchumi upo ndani ya history ilimradi uhalalishe combination ya HGE? Sasa unakuja pia na kusema uchumi upo ndani ya sayansi kama vile physics kwa sababu ya mambo sijui ya ghraph. Sasa mbona hakuna combination ya physics na uchumi (PE)?

Najua ulitaka kuanza kwa kusema tena economics ipo mpaka ndani ya biology. Jipange upya mzee baba.
Kiufupi nikwambie tu, katika maisha haya tunayoishi kila unachokifanya ni either Commerce/Economics au Book Keeping/Accounts.

Demand and Supply ndivyo vinavyoendesha maisha yako na Credit and Debt ndivyo vinavyoendesha maisha yako.
 
Na hao walioweka hvyo sio wajinga wanaelewa.wenzetu uganda kuna watu wanasoma History geography kiswahili na Economics kama sikosei

HGE ni sahihi kabisa kusoma uchumi sababu ana hesabu ambayo ni BAM.na ana kiwa commanded lazma awe ameifaulu either advance au o level
Kama kuna HGE, kwanini hakuna KGE (Kiswahili, Geography na Economics) au ECB (Economics, Chemistry na Biology) alafu wasome na hiyo BAM?
 
Kiufupi nikwambie tu, katika maisha haya tunayoishi kila unachokifanya ni either Commerce/Economics au Book Keeping/Accounts.

Demand and Supply ndivyo vinavyoendesha maisha yako na Credit and Debt ndivyo vinavyoendesha maisha yako.
Vp kuhusu Biology? Kwani katika maisha haya tunayoishi sio kila unachokifanya kina uhusiano na biology? Movement ya mwili, processing information, hizi ni nini? Hakuna somo ambalo halina umuhimu katika maisha lakini je tunawezaje kupata wataalam wabobezi katika tasnia husika?

Katika masomo yote ya A level, ni somo gani ambalo halianzii form one zaidi ya economics?
 
2016 wizara ilileta huo mpango wa kuanzishwa kwa PGE.yani physics, geography na uchumi.bahat mbaya waliishia wapi sijui.ila mpango huo ulikuwepo. Kuna wadsu watakuja kuthibitisha humu
Katika masomo yote ya A level, ni Economics pekee ndio halianzii kidato cha kwanza. Kwanini?
 
Sahihi kabisa mkuu. Watu wanafanya ubishi usio na tija kabisa humu. Sasa sijui ni nani anawalipa ili kutibua mfumo wetu wa elimu.
Hizo basics wanafunzi wanatakiwa kuzipata kwenye level hizo za chini, wakienda juu wanakuwa na idea ya wanachofunzwa. Huko ngazi ya sekondari ndo ubongo unakuwa active kujifunza vitu vipya kwa sababu bado wanakuwa na umri mdogo.
 
Well said bro.
 
Hakuna mtu aliesoma finance au bussines administration akaitwa mchumi

Hauwez kuitwa mchumi kama hujasoma module muhimu za uchumi kama econometrics na intermediate macro na micro.huo ndo msingi wa uchumi

Kwa waliosoma uchumi watakuwa wameelewa
UDSM offers Bachelor of Arts in Economics lakini hiyo sio issue. Muhimu ni kuwa wachumi bora waandaliwe kuanzia kidato cha kwanza au cha tatu na wanaosoma masomo ya biashara waachane na hiyo biology inawapotezea muda tu.
 
Habari zenu ndugu wa Jamii Forums.

Kama ni kweli Tanzania inataka kuandaa wachumi na wataalam wazuri wa kutunza hesabu, sasa wakati umefika kwa wataalam wa elimu kuruhusu wadogo zetu wanaochukua mchepuo wa biashara (ECA) kuanza kusoma somo la uchumi (Economics) kuanzia kidato cha kwanza kama ilivyo kwa wale wa PCM, PCB, HGL, CBG na HGK. Tanzania ya mwaka 2011 sio hii ya sasa ya mwaka 2021. We need to change folks.

Guys let me tell you one thing here. Hakuna level nzuri ya kuandaa wataalam kama kidato cha kwanza mpaka cha nne. Unajua kwanini? Sababu kuu ni hii. Mwanafunzi wa kidato cha pili anapojiandaa na mitihani, huwa analazimika kusoma mpaka yale ya kidato cha kwanza.

Yule wa kidato cha tatu akisikia papers zimekaribia anasoma kuanzia yale ya form one, two pamoja na three. Kidato cha nne kikifia ambao ndio mwaka wa mwisho mwanafunzi anajikuta anasoma yoooote ya kidato cha kwaza, cha pili, cha tatu na kile alichopo cha nne, hivyo kumuwezesha kujua masuala mengi madogo madogo katika taaluma yake ile.

Elimu ya chuo mtu akisoma semester moja akafanya papers kisha akafaulu, ndio basi tena hiyo hata akifika semester ya mwisho ya mwaka wa tatu halazimiki tena kusoma masula ya mwaka wa kwanza kwa maana haji kuulizwa katika mtihani wake wa mwisho.

Sasa utaniambia mhasibu aliyesoma Bookkeeping tangia form one, form six hadi chuo anaweza kulingana na yule aliteyetoka PCM Ilboru kisha wote wakaenda kusoma Accountancy UDSM au Mzumbe? Hapana hawawezi kufanana kwa maana huyu mmoja wa ECA alianza nayo tangia akili ikiwa bado haina mambo mengi.

Mbona wanaosoma PCM, HKL na HGL wanaanza na hayo masomo ya Physics, History, Language (English) pamoja na Kiswahili tangia wakiwa kidato cha kwanza? Kwanini Economics ianzie kidato cha tano na sio cha kwanza? Hivi tupo serious kweli katika kuandaa wachumi bora kwa manufaa ya baadae ya Tanzania?

Kama Kiswahili ndio lugha mama ambayo watoto wetu wanaielewa vema na ndio iliyotumika kuwafundisha masuala ya afya na mfumo mzima wa umeng'enyaji wa chakula kuanzia darasa la kwanza mpaka la saba, kwanini tena mwanafunzi anayeandaliwa kuja kuwa mchumi bora asome tena biology kwa kiingereza kwa muda wa miaka 4, somo ambalo hawezi kulitumia katika kuunda combination ya kumpeleka kidato cha tano?

Hii ni nini kama sio kupoteza muda wa mtoto? Kwani kuna combination ya biology na bookkeeping? Kuna mchepuo gani wa Biology na commerec?

Wanaochukua mchepuo wa sayansi waendelee na hiyo biology yao kwa maana wanaweza kuunda combination kwa masomo mengine kama Physics na Chemistry, lakini mwanafunzi anayesoma Commerce na Bookkeeping mnamfundisha biology ya nini? Kwanini msitoe hiyo biology mkaweka Economics?

Katika masomo yoooote ya A level, ni economics pekee ndio halianzii kidato cha kwanza. Kwanini? Mfumo wetu wa elimu unahitaji mabadiliko makubwa sana kwa maana Tanzania ya 2001 sio sawa na hii ya 2021.

USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Models za uchumi tunaosoma haziapply Tanzania. Ndiyo maana tuna wanauchumi waliokalili models za wenzetu mpaka leo wameshindwa kutukwamua kwenye umasikini.
 
Back
Top Bottom