Somo la uchumi (Economics) linapaswa kufundishwa kuanzia kidato cha kwanza kwa wanafunzi wa mchepuo wa biashara (Bookkeeping/Commerce)

Models za uchumi tunaosoma haziapply Tanzania. Ndiyo maana tuna wanauchumi waliokalili models za wenzetu mpaka leo wameshindwa kutukwamua kwenye umasikini.
Kwa hiyo wewe ushauri wako ni upi mkuu?
 
Kwa hiyo wewe ushauri wako ni upi mkuu?
Ushauri mtaala wa elimu uboreshwe kuendana na mazingira yetu.
Copy and paste haisaidii. Nimekumbuka kipindi cha jk wakati wa kipindi uchumi wa dunia ulipoanguka, akaona marekani serikali inatoa ela kuokoa makampuni yasianguke, jk naye akacopy wajanja wakapita nazo 😅
 
Hakuna unalojua kuhusu somo la uchumi vyuoni.......

Huwezi kutoboa 'module' ya mbele kama ya nyuma hukumbuki.

Futa hilo wazo la kusema ukisoma semester hii ukafunika ndio basi tena.
Aliposema hivyo tu nikagundua mleta mada anazipa nafasi sn hear say, ndivyo wanavyoongopeana mitaani kwamba chuo ukimaliza module moja unaachana nayo yn hukutani nayo tena!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Aliposema hivyo tu nikagundua mleta mada anazipa nafasi sn hear say, ndivyo wanavyoongopeana mitaani kwamba chuo ukimaliza module moja unaachana nayo yn hukutani nayo tena!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Chuo mmesoma nyie mkuu, mimi sijasoma
 
ndani ya commerce kuna economics basics kidato cha pili. yaani theoriea of demand and supply. pia form three kuna finance yaani theory of money. form three pia kuna international trade. form one kuna production.

hivyo economics inasomwa kupitia commerce. after all economics ni somo simple sana hata kama umelala usingizi unafaulu
 
Hii chai hii mkuu. Ni kama useme ndani ya Biology kuna Chemistry kwa sababu wanafunzi wanasoma masuala ya "gastric juice"
 
economics is extremely simple even doesnt need prior knowledge
Sasa hauoni kuwa wale wa ECA wanakuwa na advantage kubwa sana kuliko hao wa HGE na EGM?

In short ni kwamba ndani ya commerce hakuna basics za economics ndio maana umeshindwa kujibu swali langu.
 
Sasa hauoni kuwa wale wa ECA wanakuwa na advantage kubwa sana kuliko hao wa HGE na EGM?

In short ni kwamba ndani ya commerce hakuna basics za economics ndio maana umeshindwa kujibu swali langu.
Mkuu iko hivi ECA co wanauchumi mkuu wale wanajiandaa na business studies, hata HGE co pure wachumi ila pia hao ECA na HGE wanaweza kuwa wachumi wakifika chuo ila wachumi halisi ni EGM, sema shida ni kwamba inaonekana wewe unachanganya kati ya Economics na business kwakuwa unaona Economics inatokea kwenye combinations za ECA na HGE, ni sawa uchanganye PCM na PCB kisa wote wanasoma Phy lkn malengo yao ni tofauti, kwenye hizo comb mbili yn ECA na EGM misingi yao ni tofauti, ECA msingi wao mkuu ni Accountancy, lkn EGM msingi wao mkuu ni Economics. Ila ukifika chuo hiyo haijalishi kabisa Mana kule wanatumia sn cheti cha advance na o'level.
 
Sasa hauoni kuwa wale wa ECA wanakuwa na advantage kubwa sana kuliko hao wa HGE na EGM?
.

Ni kweli mnapoanza advance, ECA wanakuwa na advantage kubwa hususan form five mana wao wanakuwa na knowledge ya Economics cz kule olevel wanakuwa wamesoma demand and supply, pia wamesoma production japo km intro ila inakuwa inawasaidia mwanzoni.
 
economics is extremely simple even doesnt need prior knowledge
Economics is not as simple as you can imagine, it's very complex study usichukulie poa mkuu. Economics haiitaji kumeza inahitaji kuelewa from the scratch cz mna deal na vitu visivyoonekana lkn vyenye uhalisia, mfano unaweza kuta mnafanya biashara inayofanana na mwenzako, ss unakuta mwenzako anauza sn kuliko wewe, sasa hapo unaweza kutumia theories za kiuchumi kupata majibu ya ufanye nini ili demand ya bidhaa yako iwe juu zaidi ya mwenzako.
 
Hilo ndilo jambo tunakesha tukimuelewesha humu lkn anasema yeye alisoma ECA na bado hajui hii kitu, kwakweli inashangaza sana.

Lkn mkuu natofautiana na ww unaposema eti Economics ni somo simple, hyo co kweli mana km ingekuwa hivyo basi leo hii waafrika tungekuwa na wachumi wazuri sana duniani lkn hapana, sababu hapo inayoleta ugumu ni kwamba Economics inahitaji uelewa na co kukariri km tu unavyoona science inahitaji uelewa na co tu kufaulu darasani na ndiyo maana tuna wafaulu wengi wazuri ktk kila course lkn hatuna wasomi wengi wazuri ktk kila course.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…