Somo la uchumi (Economics) linapaswa kufundishwa kuanzia kidato cha kwanza kwa wanafunzi wa mchepuo wa biashara (Bookkeeping/Commerce)

Somo la uchumi (Economics) linapaswa kufundishwa kuanzia kidato cha kwanza kwa wanafunzi wa mchepuo wa biashara (Bookkeeping/Commerce)

Ndiyo wanasoma ila calculus wanayosoma wao siyo ile ya pure, wao wanaishia juu juu tu, kwn wewe c umesoma ECA wewe?
Kwanini wasome juu juu wakati EGM na ECA wote wanaandaliwa kuja kuwa wachumi? Hauoni kama watunga sera hawapo serious?
 
Ni muhimu mtu anayesomea biashara kujua misingi ya uchumi na ndiyo maana anasoma Economics lkn co kwamba eti ukisoma Economics advance basi wewe ni mchumi hapana, ila ECA ni wahasibu tangu wakiwa advance.
Umeenda nje ya swali langu kwa makusudi kabisa.
 
Mdogo wangu alimaliza kidato cha nne shule ya kata mwaka 2018, hakusoma commerce wala bookkeeping, ila A level kafanya HGE. Huyu unasemaje?
Hilo nmeshaliongelea kwamba atasoma japo mwanzoni atapata tabu ya terminologies ambazo mwenzie wa ECA alishakutana nazo ila wakifika mbele kunakuwa hakuna tofauti, mm mwenyewe pia nilisoma EGM lkn ckusoma commerce so najua ugumu niliokutana nao mwanzoni ila mbele nikakaa sawa, uchumi ni mahesabu tu yale mkuu pamoja na theories plus historical facts over.
 
Jamaa yupo right
Ujuzi wa uchumi hautokan na kusoma ...ni mifumo mibov tu, mbona physi ipo tangu mwanzo and we know nothing, hata tukasoma English VP hatujui chochote kuhusu kuzungumza,. Tunaweza weke economics tukawa na blabla nyingi, mbona waliopiga advance hawana miujiz
 
Sometimes unatakiwa kiacha akili iwe huru kuwazia mambo ambayo huenda wakati huo hayapewi nafasi.

Hivi nini kinashindikana badala ya kuwa na mada za uchambuzi wa lugha watoto waanze kuchambua mada zenye uzito.
Mfano. Mada za Democrasia, Haki za Binadamu.
Jumuiya za Kimataifa(EAC,AU,UN, EU, etc) kwenye masomo ya lugha.

Kisha kuoboresha mifumo ya ufundishaji wa Historia, Civics na pengine inapowezekana ili kufikiria kutoa Elimu ya masuala ya Uchumi na Tehama kuanzia ngazi za chini.

Nadhani kufikiria kuwa na mifumo thabiti ya tehama na kuwekeza kwenye viwanda na biashara bila kuandaa vizazi vyetu ni kunidanganya.

Tunaweza kutafuta namna ya kutunza historia za akina Zwangendaba, Mansa K. Musa, Biashara za utumwa na mikataba ya Berlin huku tukiruhusu akili za vijana wetu kupata Elimu inayoendana na wakati.

Masomo ya Physics na Chemistry yanaweza kufanyiwa maboresho sasa ili kuendana na wakati. Sidhani kama wenzetu wanasoma kwa kukariri Newton alifanya nini, bali kufanyia majaribio fikra za Newtons, Erwin Schrödinger, Van der Waals nk.

Tuache kujilinganisha na China au Singapore za miaka hiyo wakati hatuna mikakati.

Sorry kwa kwenda nje ya mada.
 
Kwanini wasome juu juu wakati EGM na ECA wote wanaandaliwa kuja kuwa wachumi? Hauoni kama watunga sera hawapo serious?
ECA wanaandaliwa kuwa wahasibu, hiyo Economics imewekwa ili wawe aware na mambo ya kiuchumi mana uchumi pia unagusa mpk biashara, so huwezi kuwa muhasibu asiyejua hata vitu vidogo vidogo mfano demand and supply mana kuna suggestion za kihasibu inabidi awe anatoa, sasa suggestion zingine zinaweza zikahusiana na mambo ya kiuchumi pia.
 
waongeze somo la uchumi ili wanafunzi wawe na basics ila wakifika form 3 ndio wanaweza kuchagua major zao.
 
Basic wanaipata kwenye commerce form one mpk form four na hakatazwi mtu kusoma.

Wabadilishe mitaala ya elimu ya sekondari.....Kwa mfano mtu wa sayansi ukiachilia masoma yake ya combination ,inabidi pia waongezewe somo moja lenye muunganiko wa commerce/bookkeeping/economics na vile vile mtu wa Arts / Biashara inabidi waongezewe somo la sayansi basics ili wae na idea.
 
Kuna uzi niliuanzisha last year uliongelea kuhusu kingereza na somo la computer kuwa ni muhimu wanafunzi wa Tanzania kuanza kusoma tangu chini kabisa, nashukuru hili la computer limepata majibu japo ilitakiwa waanze kusoma tangu primary, bado hili la kingereza cz ni muhimu pia [emoji116][emoji116][emoji116]


Kiingereza na somo la computer ni muhimu kwa maendeleo ya elimu yetu Tanzania
 
Back
Top Bottom