The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 41,015
- 93,277
Ndiyo wanasoma ila calculus wanayosoma wao siyo ile ya pure, wao wanaishia juu juu tu, kwn wewe c umesoma ECA wewe?ECA wanasoma calculus
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo wanasoma ila calculus wanayosoma wao siyo ile ya pure, wao wanaishia juu juu tu, kwn wewe c umesoma ECA wewe?ECA wanasoma calculus
Hahahahaha, naona blandes 001 na The best 007 vimeumana wenyewe kwa wenyewe sasa?Uwe unatoa fact
Kwa criteria zipi umezingatia mpaka useme hvyo. Ukiwa unaongea uwe unatoa fact ndo jinsi ya kutetea point zako.mfano mtu aseme rubani aliesomea pcm ni wa hovyo kuliko aliesoma PGM with no reason
Kwani kuna mtu anakatazwa kusoma commerce olevel?Mtu wa HGE na ECM commerce anaisomea wapi wee jamaa? Mbona tunarudi tena kule kule professor?
Nimemgusa pale kwenye HGE[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahahahaha, naona blandes 001 na The best 007 vimeumana wenyewe kwa wenyewe sasa?
Mdogo wangu alimaliza kidato cha nne shule ya kata mwaka 2018, hakusoma commerce wala bookkeeping, ila A level kafanya HGE. Huyu unasemaje?Kwani kuna mtu anakatazwa kusoma commerce olevel?
Kwanini wasome juu juu wakati EGM na ECA wote wanaandaliwa kuja kuwa wachumi? Hauoni kama watunga sera hawapo serious?Ndiyo wanasoma ila calculus wanayosoma wao siyo ile ya pure, wao wanaishia juu juu tu, kwn wewe c umesoma ECA wewe?
Ni muhimu mtu anayesomea biashara kujua misingi ya uchumi na ndiyo maana anasoma Economics lkn co kwamba eti ukisoma Economics advance basi wewe ni mchumi hapana, ila ECA ni wahasibu tangu wakiwa advance.Hii misingi ni nani amekupa? Umeitoa wapi mkuu?
Hahahahaaa labda ndio combination aliyoisomaNimemgusa pale kwenye HGE[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umeenda nje ya swali langu kwa makusudi kabisa.Ni muhimu mtu anayesomea biashara kujua misingi ya uchumi na ndiyo maana anasoma Economics lkn co kwamba eti ukisoma Economics advance basi wewe ni mchumi hapana, ila ECA ni wahasibu tangu wakiwa advance.
Hilo nmeshaliongelea kwamba atasoma japo mwanzoni atapata tabu ya terminologies ambazo mwenzie wa ECA alishakutana nazo ila wakifika mbele kunakuwa hakuna tofauti, mm mwenyewe pia nilisoma EGM lkn ckusoma commerce so najua ugumu niliokutana nao mwanzoni ila mbele nikakaa sawa, uchumi ni mahesabu tu yale mkuu pamoja na theories plus historical facts over.Mdogo wangu alimaliza kidato cha nne shule ya kata mwaka 2018, hakusoma commerce wala bookkeeping, ila A level kafanya HGE. Huyu unasemaje?
Ujuzi wa uchumi hautokan na kusoma ...ni mifumo mibov tu, mbona physi ipo tangu mwanzo and we know nothing, hata tukasoma English VP hatujui chochote kuhusu kuzungumza,. Tunaweza weke economics tukawa na blabla nyingi, mbona waliopiga advance hawana miujizJamaa yupo right
Najua unachokitaka na ndiyo maana nakutoa nje nakurudisha nyuma nakupa na majibu ya swali la uzi wako zen nakuambia kwnn iko hivi kwa wkt mmoja.Umeenda nje ya swali langu kwa makusudi kabisa.
Sasa hata kama umesoma combination hiyo linapokuja suala la ukweli ni lazima usemwe tu.Hahahahaaa labda ndio combination aliyoisoma
ECA wanaandaliwa kuwa wahasibu, hiyo Economics imewekwa ili wawe aware na mambo ya kiuchumi mana uchumi pia unagusa mpk biashara, so huwezi kuwa muhasibu asiyejua hata vitu vidogo vidogo mfano demand and supply mana kuna suggestion za kihasibu inabidi awe anatoa, sasa suggestion zingine zinaweza zikahusiana na mambo ya kiuchumi pia.Kwanini wasome juu juu wakati EGM na ECA wote wanaandaliwa kuja kuwa wachumi? Hauoni kama watunga sera hawapo serious?
Basic wanaipata kwenye commerce form one mpk form four na hakatazwi mtu kusoma.waongeze somo la uchumi ili wanafunzi wawe na basics ila wakifika form 3 ndio wanaweza kuchagua major zao.
Basic wanaipata kwenye commerce form one mpk form four na hakatazwi mtu kusoma.