The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 41,015
- 93,277
Ss hiyo c ndivyo ilivyo au? We huoni masomo ya sayansi na arts wanafunzi wanasoma yote since form one!? Na hiyo ndiyo maana yake ya kusoma masomo yote.Wabadilishe mitaala ya elimu ya sekondari.....Kwa mfano mtu wa sayansi ukiachilia masoma yake ya combination ,inabidi pia waongezewe somo moja lenye muunganiko wa commerce/bookkeeping/economics na vile vile mtu wa Arts / Biashara inabidi waongezewe somo la sayansi basics ili wae na idea.
Ss hiyo c ndivyo ilivyo au? We huoni masomo ya sayansi na arts wanafunzi wanasoma yote since form one!? Na hiyo ndiyo maana yake ya kusoma masomo yote.
Sasa huoni mtoa mada anataja book keeping kwamba ndio masomo ya uchumi,uchumi wa wapi huo?Hakuna mtu aliesoma finance au bussines administration akaitwa mchumi
Hauwez kuitwa mchumi kama hujasoma module muhimu za uchumi kama econometrics na intermediate macro na micro.huo ndo msingi wa uchumi
Kwa waliosoma uchumi watakuwa wameelewa
Ni sawa lakini History,na Geography na uchumi wapi na wapi? Hiyo Bam imewekwa kama back up tuu kwa watu wa HGE lakini ni moja ya combination za kijinga na napendekezwa ifutwe.HGE ndio combination pekee ya arts inayosoma BAM yan Basic apllied mathematics .kwa kifupi tofaut ya EGM na HGE ni mmoja anasoma pure math ambayo ipo deep zaid mwengine anasoma Bam ambayo haiend deep kwenye hesabu lakini ana history ambayo pia ina uhusiano mkubwa na Economics
Kwahyo mtu wa HGE ni sahihi kusoma uchumi kwa level ya degree.
Pia kwenye zile admission requirements kwenye chuo kama Udsm,Mzumbe na Ardhi.wote wana guide lazma uwe na either minimum subsidiary (S) in Bam au uwe na at least C in mathematics o level
Na hao walioweka hvyo sio wajinga wanaelewa.wenzetu uganda kuna watu wanasoma History geography kiswahili na Economics kama sikosei
HGE ni sahihi kabisa kusoma uchumi sababu ana hesabu ambayo ni BAM.na ana kiwa commanded lazma awe ameifaulu either advance au o level
Ni kweli mkuu ndio maana nikasema HGE ni combination ya hovyo,hakuna correlation ya hayo masomo.Kama kuna HGE, kwanini hakuna KGE (Kiswahili, Geography na Economics) au ECB (Economics, Chemistry na Biology) alafu wasome na hiyo BAM?
Siku moja moja huwa unaongea point kumbe ukiacha upuuzi wa siasa, nimekupa like ya kwanza though [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni sawa lakini History,na Geography na uchumi wapi na wapi? Hiyo Bam imewekwa kama back up tuu kwa watu wa HGE lakini ni moja ya combination za kijinga na napendekezwa ifutwe.
Ili uwe mzuri kwenye uchumi na mchumi wa ukweli lazima uwe vizuri kwenye mathematics na hapa ni pure mathematics.
Wanataaluma wengi wa uchumi ni watu wa hesabu au Pcm sio HGE sijui vitu gani huko.
kwamba economics ni ngumu sana mpaka mtu ashindwe kuielewa akifika chuo mkuu.Kuna baadhi ya masomo ni delicate.ndomaana hakuna diploma ya economics tz. Mi nafikiri tuwapunguzie watoto mizigo.mtoto ana masomo 9 na bado umpe na economics inakuwa mzigo sana. Wacha waikute advance.mwisho basic knowledge ya uchumi ipo kwenye commerce.
Sio haziko applicable unless hujui hizo models ziko kwa ajili ya nini,ulienda kukariri badala ya kusoma.Models za uchumi tunaosoma haziapply Tanzania. Ndiyo maana tuna wanauchumi waliokalili models za wenzetu mpaka leo wameshindwa kutukwamua kwenye umasikini.
Huyo hutomuweza alishazoea ligi na much know..Hahahahahaaaa, kwaheri mkuu. Hakika sikuwezi kwa ubishi
Hapana sema tu hujamuelewa jamaa.kwamba economics ni ngumu sana mpaka mtu ashindwe kuielewa akifika chuo mkuu.
Aliyesoma somo kwa miaka minne unataka kumlinganisha na yule atakayelisoma kwa miaka miwili tu A level? Unachekesha sasa mkuuHilo nmeshaliongelea kwamba atasoma japo mwanzoni atapata tabu ya terminologies ambazo mwenzie wa ECA alishakutana nazo ila wakifika mbele kunakuwa hakuna tofauti, mm mwenyewe pia nilisoma EGM lkn ckusoma commerce so najua ugumu niliokutana nao mwanzoni ila mbele nikakaa sawa, uchumi ni mahesabu tu yale mkuu pamoja na theories plus historical facts over.
HahahaaaaHuyo hutomuweza alishazoea ligi na much know..
OkayNi kweli mkuu ndio maana nikasema HGE ni combination ya hovyo,hakuna correlation ya hayo masomo.
ECA na EGM au natural sciences zina uhusiano hasa kwenye mathematics,na Economics kuanzia Second year kwenda ngazi za Juu ni application kubwa ya Mathematics tena pure sio basic wala BAM
Somo gn alilosoma kwa miaka minne?Aliyesoma somo kwa miaka minne unataka kumlinganisha na yule atakayelisoma kwa miaka miwili tu A level? Unachekesha sasa mkuu
Uongo huuECA wanaandaliwa kuwa wahasibu, hiyo Economics imewekwa ili wawe aware na mambo ya kiuchumi mana uchumi pia unagusa mpk biashara, so huwezi kuwa muhasibu asiyejua hata vitu vidogo vidogo mfano demand and supply mana kuna suggestion za kihasibu inabidi awe anatoa, sasa suggestion zingine zinaweza zikahusiana na mambo ya kiuchumi pia.
Hiyo commerce ambayo kwa uongo wenu mnadai ndani yake kuna economics.Somo gn alilosoma kwa miaka minne?
Sawa mkuuSasa hata kama umesoma combination hiyo linapokuja suala la ukweli ni lazima usemwe tu.
WrongNajua unachokitaka na ndiyo maana nakutoa nje nakurudisha nyuma nakupa na majibu ya swali la uzi wako zen nakuambia kwnn iko hivi kwa wkt mmoja.
Yani unasema ECA ni pure science wakat anasoma BAM aliyo soma uyo uyo mtu wa HGE.mkuu mbona unaongea vapourNi kweli mkuu ndio maana nikasema HGE ni combination ya hovyo,hakuna correlation ya hayo masomo.
ECA na EGM au natural sciences zina uhusiano hasa kwenye mathematics,na Economics kuanzia Second year kwenda ngazi za Juu ni application kubwa ya Mathematics tena pure sio basic wala BAM
Ahaha we jmaa.msingi mkubwa wa ruban ni geog na math?Rubani haihusiani na PGM wala PCM. Rubani msingi wake mkubwa ni Geography na Mathematics tu.