The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 41,015
- 93,277
Ss hiyo c ndivyo ilivyo au? We huoni masomo ya sayansi na arts wanafunzi wanasoma yote since form one!? Na hiyo ndiyo maana yake ya kusoma masomo yote.Wabadilishe mitaala ya elimu ya sekondari.....Kwa mfano mtu wa sayansi ukiachilia masoma yake ya combination ,inabidi pia waongezewe somo moja lenye muunganiko wa commerce/bookkeeping/economics na vile vile mtu wa Arts / Biashara inabidi waongezewe somo la sayansi basics ili wae na idea.