Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Tanzania haiitaji wachumi, inahitaji watu wanaojua kutumia teknolojia ili kutatua matatizo ya hii nchi.Tanzania inahitaki kuandaa wachumi wazuri from grassroots
Tunahitaji wataalam wa nyanja zote mkuuTanzania haiitaji wachumi, inahitaji watu wanaojua kutumia teknolojia ili kutatua matatizo ya hii nchi.
Ungesema wafundishwe kompyuta ningekuelewa. Economics BIG NO.
Mkuu mbona Uganda kuna kombi ya Physics Economics na Maths?Mkuu, wewe unafaa kuwa wanasiasa na sio mtaalam wa uchumi. Yaani unasema uchumi upo ndani ya history ilimradi uhalalishe combination ya HGE? Sasa unakuja pia na kusema uchumi upo ndani ya sayansi kama vile physics kwa sababu ya mambo sijui ya ghraph. Sasa mbona hakuna combination ya physics na uchumi (PE)?
Najua ulitaka kuanza kwa kusema tena economics ipo mpaka ndani ya biology. Jipange upya mzee baba.
Mkuu nakusaportTanzania haiitaji wachumi, inahitaji watu wanaojua kutumia teknolojia ili kutatua matatizo ya hii nchi.
Ungesema wafundishwe kompyuta ningekuelewa. Economics BIG NO.
Rubani anarusha tu ndege kazi yake ni kuambiwa weka nyuzi fulani, shusha foot kadhaa pandisha juu basi, ila hao unawaongelea wewe ni wale walio chini ambao ndio kazi yao kubwa kuongoza ndege.Ahaha we jmaa.msingi mkubwa wa ruban ni geog na math?
Are you serious?.hv unajuwa mechanism ya ndege kupaa? Duh we jmaaa nmekudharau
Ni kweli lakini kwa mujibu wa mada yako SI KWELI. China haikiendelea kwa kuwa na rundo la wachumi.Tunahitaji wataalam wa nyanja zote mkuu
Mkuu kuna watu wagumu sana kuelewa.mimi nilisha waelezea kule juu.economics is more than subject.ndomaana wizara kama ya fedha na mipango hapew mtu yeyote badala ya mchumi.Mkuu mbona Uganda kuna kombi ya Physics Economics na Maths?
Uchumi kuufundisha Olevo ni total waste of time..
Unaweza ukawa uko sahihi kwa kiasi flani maana rubani ni sawa na dereva wa gari ambaye haitaji kujua kiundani forces zinazo act kwenye gari analo endesha so kwa rubani Phy inaweza isiwe issue kiivo, shughuli ipo kwenye AERONAUTICAL ENGINEER, bila Physics hutoboi.Rubani haihusiani na PGM wala PCM. Rubani msingi wake mkubwa ni Geography na Mathematics tu.
Dah we jamaa mpaka nasikitikaRubani anarusha tu ndege kazi yake ni kuambiwa weka nyuzi fulani, shusha foot kadhaa pandisha juu basi, ila hao unawaongelea wewe ni wale walio chini ambao ndio kazi yao kubwa kuongoza ndege.
Yah watu huwa wanachanganya hizi habari, pita hapa [emoji116][emoji116]Unaweza ukawa uko sahihi kwa kiasi flani maana rubani ni sawa na dereva wa gari ambaye haitaji kujua kiundani forces zinazo act kwenye gari analo endesha so kwa rubani Phy inaweza isiwe issue kiivo, shughuli ipo kwenye AERONAUTICAL ENGINEER, bila Physics hutoboi.
Pita hapa mkuu[emoji116][emoji116]Dah we jamaa mpaka nasikitika
Hawasomi CALCULUS bali wanasoma "ka-calculus" ambako hata mtoto wa form3 anayesoma "Additional Maths" anakasoma!!ECA wanasoma calculus
Mkuu usifananishe ndge na gari ni kosa kubwa sana. Ndge ni chombo sensitive sana.huwez kukaa pale hujui hata mambo concept za physics.gari hata mpumbavu ukimshikisha uskan anaendeshaUnaweza ukawa uko sahihi kwa kiasi flani maana rubani ni sawa na dereva wa gari ambaye haitaji kujua kiundani forces zinazo act kwenye gari analo endesha so kwa rubani Phy inaweza isiwe issue kiivo, shughuli ipo kwenye AERONAUTICAL ENGINEER, bila Physics hutoboi.
Achana na mambo ya wizara mkuu. Mwanasiasa anakaa popote, ila mtaalam wa wizara ni katibu mkuu ambaye ndiye nguli wa nyanja husikaMkuu kuna watu wagumu sana kuelewa.mimi nilisha waelezea kule juu.economics is more than subject.ndomaana wizara kama ya fedha na mipango hapew mtu yeyote badala ya mchumi.
Mantiki yng ilikuwa ni kwamba co lazima usome PCM au PGM ndio uwe rubani.Ahaha we jmaa.msingi mkubwa wa ruban ni geog na math?
Are you serious?.hv unajuwa mechanism ya ndege kupaa? Duh we jmaaa nmekudharau
Haviko sawa lakini vinafanana, wote hao wako kundi moja la MADEREVA.Mkuu usifananishe ndge na gari ni kosa kubwa sana. Ndge ni chombo sensitive sana.huwez kukaa pale hujui hata mambo concept za physics.gari hata mpumbavu ukimshikisha uskan anaendesha
Narudia tena huwez kuendesha ndege kama huna idea za physics.labda kama unataka kuendesha ndge zety za asili[emoji16]
Usisikitike mkuu unachanganya mambo kiongozi.Dah we jamaa mpaka nasikitika
Ina maana China hakuna wachumi wabobezi?Ni kweli lakini kwa mujibu wa mada yako SI KWELI. China haikiendelea kwa kuwa na rundo la wachumi.
Teknolojia ndio imewafikisha hapo.
Niambie wizara ya fedha nani kawah kukaa pale hajasoma uchumiAchana na mambo ya wizara mkuu. Mwanasiasa anakaa popote, ila mtaalam wa wizara ni katibu mkuu ambaye ndiye nguli wa nyanja husika
Wapo wengi tu. Lakini jiulize China imeendelea kwa kuwa na wachumi wengi au kwa kuwa na viwanda vingi? Na hivyo viwanda msingi wake ni uchumi au teknolojia?Ina maana China hakuna wachumi wabobezi?