Somo la uchumi (Economics) linapaswa kufundishwa kuanzia kidato cha kwanza kwa wanafunzi wa mchepuo wa biashara (Bookkeeping/Commerce)

Mkuu, wewe unafaa kuwa wanasiasa na sio mtaalam wa uchumi. Yaani unasema uchumi upo ndani ya history ilimradi uhalalishe combination ya HGE? Sasa unakuja pia na kusema uchumi upo ndani ya sayansi kama vile physics kwa sababu ya mambo sijui ya ghraph. Sasa mbona hakuna combination ya physics na uchumi (PE)?

Najua ulitaka kuanza kwa kusema tena economics ipo mpaka ndani ya biology. Jipange upya mzee baba.
Mkuu mbona Uganda kuna kombi ya Physics Economics na Maths?

Uchumi kuufundisha Olevo ni total waste of time..
 
Ahaha we jmaa.msingi mkubwa wa ruban ni geog na math?
Are you serious?.hv unajuwa mechanism ya ndege kupaa? Duh we jmaaa nmekudharau
Rubani anarusha tu ndege kazi yake ni kuambiwa weka nyuzi fulani, shusha foot kadhaa pandisha juu basi, ila hao unawaongelea wewe ni wale walio chini ambao ndio kazi yao kubwa kuongoza ndege.
 
Rubani haihusiani na PGM wala PCM. Rubani msingi wake mkubwa ni Geography na Mathematics tu.
Unaweza ukawa uko sahihi kwa kiasi flani maana rubani ni sawa na dereva wa gari ambaye haitaji kujua kiundani forces zinazo act kwenye gari analo endesha so kwa rubani Phy inaweza isiwe issue kiivo, shughuli ipo kwenye AERONAUTICAL ENGINEER, bila Physics hutoboi.
 
Yah watu huwa wanachanganya hizi habari, pita hapa [emoji116][emoji116]

Unaweza ukawa uko sahihi kwa kiasi flani maana rubani ni sawa na dereva wa gari ambaye haitaji kujua kiundani forces zinazo act kwenye gari analo endesha so kwa rubani Phy inaweza isiwe issue kiivo, shughuli ipo kwenye AERONAUTICAL ENGINEER, bila Physics hutoboi.
Mkuu usifananishe ndge na gari ni kosa kubwa sana. Ndge ni chombo sensitive sana.huwez kukaa pale hujui hata mambo concept za physics.gari hata mpumbavu ukimshikisha uskan anaendesha

Narudia tena huwez kuendesha ndege kama huna idea za physics.labda kama unataka kuendesha ndge zety za asili[emoji16]
 
Mkuu kuna watu wagumu sana kuelewa.mimi nilisha waelezea kule juu.economics is more than subject.ndomaana wizara kama ya fedha na mipango hapew mtu yeyote badala ya mchumi.
Achana na mambo ya wizara mkuu. Mwanasiasa anakaa popote, ila mtaalam wa wizara ni katibu mkuu ambaye ndiye nguli wa nyanja husika
 
Ahaha we jmaa.msingi mkubwa wa ruban ni geog na math?
Are you serious?.hv unajuwa mechanism ya ndege kupaa? Duh we jmaaa nmekudharau
Mantiki yng ilikuwa ni kwamba co lazima usome PCM au PGM ndio uwe rubani.
 
Mkuu usifananishe ndge na gari ni kosa kubwa sana. Ndge ni chombo sensitive sana.huwez kukaa pale hujui hata mambo concept za physics.gari hata mpumbavu ukimshikisha uskan anaendesha

Narudia tena huwez kuendesha ndege kama huna idea za physics.labda kama unataka kuendesha ndge zety za asili[emoji16]
Haviko sawa lakini vinafanana, wote hao wako kundi moja la MADEREVA.
 
Back
Top Bottom