Somo la uchumi (Economics) linapaswa kufundishwa kuanzia kidato cha kwanza kwa wanafunzi wa mchepuo wa biashara (Bookkeeping/Commerce)

Ni kweli mnapoanza advance, ECA wanakuwa na advantage kubwa hususan form five mana wao wanakuwa na knowledge ya Economics cz kule olevel wanakuwa wamesoma demand and supply, pia wamesoma production japo km intro ila inakuwa inawasaidia mwanzoni.
Ndio maana nikashauri kuwa ili somo lianzie kidato cha kwanza, na hizo HGE pamoja na EGM zifutwe ibaki ECA tu
 
Ili kufuta hizo tofauti za wanafunzi wa ECA, HGE na EGM, ni muhimu sana kwa somo la economics kuanza kufundishwa tangia kidato cha kwanza mkuu. Mchumi atakayetokea ECA na HGE kamwe hawawezi kufanana.
 
Hahahahahaaa duuhh, hebu nitajie wachumi watano Tz waliosoma ECA na mm nikutajie waliosoma EGM [emoji1787][emoji1787]

Wewe nishakwambia unachanganya Economics na biashara mkuu, ili uwe mchumi mzr lazima uwe vzr kwenye hesabu na co hesabu za kujumlisha na kutoa km wanazosoma ECA na HGE lazima usome hesabu ngumu labda nikuweke wazi, kinachowafanya ECA na HGE wengi kuwa discouraged na Economics huko mbele ni hesabu tu na co kingine na ndiyo maana kwa hapa Tanzania wanauchumi wanaanza kuitwa hivyo wakiwa advance na combination inayobeba taswira ya uchumi ni EGM na co ECA wala HGE.
 
ECA inabeba taswira ya biashara mbn unakuwa mgumu kuelewa mkuu, wewe umesoma ECA ya wapi hiyo ujui haya mambo?
 
Hahahahahaaa duuhh, hebu nitajie wachumi watano Tz waliosoma ECA na mm nikutajie waliosoma EGM [emoji1787][emoji1787]

Wewe nishakwambia unachanganya Economics na biashara mkuu, ili uwe mchumi mzr lazima uwe vzr kwenye hesabu na co hesabu za kujumlisha na kutoa km wanazosoma ECA na HGE lazima usome hesabu ngumu labda nikuweke wazi, kinachowafanya ECA na HGE wengi kuwa discouraged na Economics huko mbele ni hesabu tu na co kingine na ndiyo maana kwa hapa Tanzania wanauchumi wanaanza kuitwa hivyo wakiwa advance na combination inayobeba taswira ya uchumi ni EGM na co ECA wala HGE.
Uwe unatoa fact
Kwa criteria zipi umezingatia mpaka useme hvyo. Ukiwa unaongea uwe unatoa fact ndo jinsi ya kutetea point zako.mfano mtu aseme rubani aliesomea pcm ni wa hovyo kuliko aliesoma PGM with no reason
 
Sasa unataka kubisha kuwa hakuna uhusiano mkubwa kati ya business na economics?
Vina uhusiano ndiyo ila vina utofauti na ndiyo maana unakuta kuna mtu anasoma comb ina Commerce, Accountancy na Economics, na ndiyo maana kule olevel anasoma commerce ili kumpa knowledge ya Economics but ikifika mbeleni atahitaji kuongeza knowledge ya Mathematics ili kwenda sambamba na yanayohitajika.

Kwenye Accounting kuna hesabu za jumlisha na kutoa ila kwenye uchumi kuna mpaka calculus.
 
ili uwe mchumi mzr lazima uwe vzr kwenye hesabu na co hesabu za kujumlisha na kutoa km wanazosoma ECA na HGE lazima usome hesabu ngumu labda nikuweke wazi, kinachowafanya ECA na HGE wengi kuwa discouraged na Economics huko mbele ni hesabu tu na co kingine
Acha kunitoa nje ya mada, ndio maana kuna maswali yangu umekwepa kujibu huko juu. Mada inahusu somo la uchumi kuanzia form one na sio somo la hesabu ngumu na rahisi.
 
Uwe unatoa fact
Kwa criteria zipi umezingatia mpaka useme hvyo. Ukiwa unaongea uwe unatoa fact ndo jinsi ya kutetea point zako.mfano mtu aseme rubani aliesomea pcm ni wa hovyo kuliko aliesoma PGM with no reason
Rubani haihusiani na PGM wala PCM. Rubani msingi wake mkubwa ni Geography na Mathematics tu.
 
Vina uhusiano ndiyo ila vina utofauti na ndiyo maana unakuta kuna mtu anasoma comb ina Commerce, Accountancy na Economics, na ndiyo maana kule olevel anasoma commerce ili kumpa knowledge ya Economics
Mtu wa HGE na ECM commerce anaisomea wapi wee jamaa? Mbona tunarudi tena kule kule professor?
 
Acha kunitoa nje ya mada, ndio maana kuna maswali yangu umekwepa kujibu huko juu. Mada inahusu somo la uchumi kuanzia form one na sio somo la hesabu ngumu na rahisi.
Somo la uchumi ndiyo linaanzia form kupitia commerce cz kuna topics za commerce kule olevel zipo pia kwenye Economics advance japo advance ina extend, sawa na basic electronics ya olevel mwanafunzi anapata image ya atakachokutana nacho kwenye electronics ya advance.
 
Back
Top Bottom