Somo zuri kwa Rais Samia kutoka kwa Rais Hussein A. H Mwinyi.

Hilo somo sidhani kama mwanafunzi atafaulu!!!
 
Tatizo huku ni hao Mawaziri wanaotaka kugombania uraisi 2025.

Kwa kujitangaza kwenye mawe na ng'ongo.
 
Rais Samia...........! Njoo upate somo huku kwa pacha wako ili uache kututoza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…