Son Heung-min afungua kesi dhidi ya Mwanamke aliyedai ana ujauzito wake

Son Heung-min afungua kesi dhidi ya Mwanamke aliyedai ana ujauzito wake

DogoWaNjombe

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
3,284
Reaction score
7,708
Screenshot 2025-05-15 091255.jpg
Mshambuliaji wa Tottenham Hotspur, Son Heung-min amefungua kesi Polisi dhidi ya Mwanamke ambaye alidai ana ujauzito wa staa huyo wakati sio kweli na kwamba alifanya hivyo kwa lengo la kupata fedha kutoka kwa Son.

Wanasheria wa Son wanadai Mdada huyo alitoa madai hayo Juni 2024 na akataka fedha ili anyamaze baada ya mvutano wa muda mrefu ndipo wiki iliyopita Son akaamua kufungua mshtaka kwa kuamini mtu huyo alikuwa na lengo la kumlaghai ili ajipatie fedha.

Son, 32, hana mke wala Mtoto anayetambulika aliwahi kunukuliwa akisema “Baba alisema unapooa kipaumbele cha kwanza ni familia, mke na Watoto kisha soka. Nataka kuhakikisha nitaendelea kucheza soka kwa kiwango cha juu, nikistaafu ndio nitaanza kutafuta Watoto.”

======================================​

Son Heung-min 'files blackmail complaint against woman after false pregnancy claim made against Tottenham captain' - as South Korean police launch investigation


Son Heung-min has reportedly submitted a complaint to South Korean police over a woman who has allegedly blackmailed him with a false pregnancy claim.

A woman in her 20s and a man in his 40s are being investigated by police in Seoul on charges of attempted extortion, according to the Yonhap News Agency and The Korea Times.

Son reportedly said that they falsely told him the woman was pregnant in an effort to extort several hundred million won from him. One British pound is roughly equivalent to 1,859 South Korean won.

His legal team claim that she claimed she was pregnant in June last year and demanded money in return for remaining silent.

The Tottenham captain filed his complaint to police last week.

Son, 32, does not have a wife or any known children.

He has previously hinted that he does not want to have any kids until he is retired because he would like to devote himself to football.

The forward's contract with Spurs expires next year.

'My father says this and I agree, as well. When you marry, the number one will be family, wife and kids, and then football. I want to make sure that while I play at the top level, football can be number one,' he told The Guardian in 2019.

'You don’t know how long you can play at the top level. When you retire, or when you are 33 or 34, you can still have a long life with your family.'

He has, in the past, dated Korean pop stars Bang Min-ah and Yoo So-young.

The ordeal comes as something of a distraction as Tottenham seek to win their first silverware in 17 years.

Spurs are targeting Champions League qualification via their Europa League final clash with Manchester United on May 21.

Source: DailyMail
 
Dah! Watu wana malengo! Sisi wengine tangu tuko primary tayari tulikuwa tumeshaharibu watoto wa watu.
 
Kwa sheria za ulaya na USA kuishi kama son ni kujiwekea tahadhari ya hatma yako
 
Back
Top Bottom